wasanii kujifunza korea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lycaon pictus

    Haya waliyofanya wasanii wetu walioenda Korea siyo sawa kabisa

    Tungefanyiwa sisi tungepiga kelele ubaguzi. Hivi si vichekesho, ni kumock culture ya watu. Ustaarabu muhimu.
  2. U

    Haya ndio makadirio ya gharama (ukitumia rate za kiserikali) kusafirisha wasanii 40 Korea

    Kwanza nieleweke, hapa natoa mfano wa Makisio ya jumla ya gharama endapo kama serikali au mtu binafsi ameamua kugaramia safari za wasanii 40 kwa kutumia rates za kiserikali kuwasafirisha kwenda Korea wasanii 40 wa tasnia ya bongo movie kwa ajili ya kwenda kujifunza mambo ya tasnia ya uigizaji...
Back
Top Bottom