wanavutiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Prof_Adventure_guide

    Nimeandaa safari ya kupanda mlima Kilimanjaro kwa ajili ya wanaJF tu ambao wanavutiwa kufika kilele cha mlima

    Ndugu wanajamii, nataka kuwashauri tuungane pamoja katika adventure ya kupanda mlima Kilimanjaro! Gharama ya safari hii ni Shilingi 700,000 kwa kila mtu, na itafanyika mwezi wa sita. Tutatumia Marangu Route, ambayo ni the easiest way to climb Kilimanjaro. Safari hii itachukua siku 6, na itakuwa...
  2. GENTAMYCINE

    Haya sasa Wakulima wa Mchele Tanzania Kazi Kwenu kwani Wanyarwanda wanavutiwa na Mchele wenu kuliko wa Kwao kutoka Bugarama

    Na hawajaishia tu Kuupenda bali wameenda mbali zaidi na kusema kuwa pia unapatikana kwa Gharama nafuu mno. Chanzo Taarifa: BBC Dira ya Dunia hivi punde tu. Ngoja nami sasa nipate Elimu ya Kilimo kidogo ili nijaribu hili Zao kwani nasikia Mchele wa Tanzania unapendwa EAC.
  3. Black Butterfly

    Ni kweli wanaume wanapenda makalio makubwa?

    Imesemekana kwamba wanaume wanapenda sana makalio makubwa. Je, ni kweli na kwanini? Imani maarufu Inaaminika kuwa wanawake walio na muundo wa mgongo uliopinda wanaweza kusawazisha uzito wao kwenye viuno wakati wa ujauzito. Inafaa zaidi wakati wa ujauzito na husababisha majeruhi machache ya...
Back
Top Bottom