Ndani ya hii miaka miwili Kuna muingiliano mkubwa sana wa jamii wa watu wa hadza na watu wa ulimwengu wa kwanza kitu ambacho binafsi naona kama kitachangia sana kuharibu mfumo wa mzuri wa kiasili waliouzoea kuishi na kuondoa kabisa ule utambulishi wao kama wahadzabe
Wageni wengi wanaokuja...
Kusema kweli saiz kabila la kimasai halina maajabu tena ya kufanya tuwape kipaumbele kama kivutio cha watalii kwa kuwa maisha yao ni maisha ya kawaida kabisa, ukiachana na ufugaji wao na uvaaji wao hakuna kingine cha maajabu kinachofanya kutangazwa kama kivutio cha watalii.
Katika filamu ya...
Hii habari kwa upande wng sijaielewa,si mara ya kwanza kusikia habari kama hii kwa ndugu zetu wahadzabe ila huwa najiuliza ulazima na umuhimu wa kufanya hivyo upo wapi na ulizingqtia hii ni jamii ya wawindaji.naomba anayeelewa hii issue vzr atueleweshe tafadhali.
Wakati yamebaki masaa kabla ya kukoma kwa zoezi la uandikishaji wapiga kura katika daftari la makazi kufikia ukomo leo Oktoba 20, Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga tarehe 19.10.2024 alitembelea jamii ya Wahadzabe katika kijiji cha MONGO-WA-MONO wilayani Mbulu ambao maisha yao bado...
Mama wa watoto kadhaa anahukumiwa zaidi ya miaka 20 kwa kukutwa na nyamapori kilomoja, ila kuna kundi la watu linafanya uwindaji haramu kwa kuua mamia ya wanyamapori kwa kisingizio cha tamaduni.
Ufugaji wa ng'ombe wa kienyeji umekuwa kama uharifu nchini kwa asilimia kubwa ya wafugaji, mifugo...
Wanabodi,
Kama kawa kila nipatapo fursa huja na kwa Maslahi ya Taifa. Leo ni kuhusu Natural Disasters: Jee Tuwafanyie Research watu wa makabila ya Wabarbaig, Wahadzabe, Wataturu, Wasandawe na Watindinga, huwa wanajuaje kutatokea natural disasters na kukimbia eneo hilo kabla ya majanga...
Mzuka wanajamvi!
Hakuna mila pale ni maigizo.
Wakati umefika serikali iwakusanye haya makabila ya porini kina Hadzabe na kuwapeleka kwenye mapori tengefu lukuki ya serikali yaliozagaa kila mahali nchini na wajishughulishe na kazi za kilimo ili nchi ipate chakula cha kutosha na ghala la taifa...
Wakati Serikali ikitoa nyamapori ya nyumbu 20 kwa jamii ya wawindaji, waokota matunda, wakusanya mizizi na warina asali ya wahadzabe wa bonde la Yaeda Chini Wilayani Mbulu Mkoani Manyara ili wahesabiwe, baadhi yao wamelalamika kunyimwa bangi katika mgawo huo.
Hii ni mara ya pili Wahadzabe hao...
Na John Walter-Manyara
Serikali ya Tanzania imetoa wanyamapori 20 aina ya Nyumbu kwa jamii ya Wahadzabe ikiwa ni sehemu ya takwa lao ili wawe tayari kushiriki zoezi la Sensa linaloanza usiku wa kuamkia Agosti 23 hadi Agosti 31 mwaka huu.
Sensa ya mwaka huu inafanyika kwa mara ya sita ambapo...
MKUU wa Mkoa wa Manyara, Makongoro Nyerere, ameahidi kutumia gharama yoyote ya fedha kupeleka nyama kwa wawindaji, waokota matunda na warina asali wa jamii ya Wahadzabe, ili kuwashawishi wajitokeze kushiriki sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022.
Wahadzabe hao ni wale wanaoishi katika Kitongoji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.