Kijana kabla hajaanza kuendesha pikipiki (bodaboda) anakuwa timamu. Ila baada ya kuanza hiyo kazi anakuwa rafu sana, haogopi kuendesha pikipiki speed 120 au kupita katikati ya masemi barabarani au kupiga norinda.
Je, harufu ya petrol ndiyo inaharibu akili za waendesha bodaboda?
Kuna kijana nataka nimnunulie boda boda anipigie kazi. Nimemwambia aje na mzamini na alete hati ya nyumba kama dhamana.
Sitaki masihara, hawa vijana huwa wanakuja mikono nyuma baadae anabadilika kama siyo yule.
Kama nakosea semeni nimpe masharti gani?
Kwema ndugu zangu,
Bodaboda wana tabia za ajabu sana sijui kwanini.
Unaweza ukawa unatembea unashangaa wanakupigia honi.
Au upo njiani unatembea unashangaa boda huyu hapa "oya braza wapi" sasa nabaki najiuliza ina maana mimi sijui napokwenda au?
Leo nimeshuka kwenye gari akaja boda na...
Hii ni kwa usalama wako!
Kuna ajali na vifo vingine vinapangwa na wanadamu wenyewe kwa kutokujali na kuangalia usalama wa barabarani
Kiukweli dereva bodaboda wengi ndani ya jiji la Dar es salaam hawajali usalma wao kabisa, hii imepelekea vifo na ulemavu wa kudumu kwa kundi hili na abiria wengi...
Siku moja niliwahi kushuhudia dereva boda akigongwa na gari wakati akiwakimbia Askari waliokuwa wanamkimbiza kutokana na makosa ya barabarani. Jamaa yule alipasuka kichwa palepale na ikawa mwisho wa maisha yake. Alikimbia faini ya shilingi 30,000 au zaidi akaambulia kifo..
Je, Kwa kuwa faini...
Leo majira ya saa 2:00 katika kituo cha Radio 5 jijini Arisha, walialikwa baadhi ya waendesha boda boda pamoja na viongozi wao.
Katika mahojiano ya namna wanavyopambana na changamoto za kazao, hawakusita kuzungumzia namna ambavyo walisaidika kwa kupewa mafunzo mbalimbali na maelekezo...
Habari wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye maada.
Hivi sasa tunatambua bodaboda imekuwa ni kazi inayowasaidia vijana wengi sana kujikwamua kiuchumi katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu kitu ambacho ni kizuri sana.
Lakini kazi hii baadhi ya maeneo inafanywa kwa kukosa weledi na maarifa ya...
Tunashukuru Wachina kutufikisha vyombo vya moto kama pikipiki. Ila ni moja la janga kubwa katika taifa kuanzia kwenye matumizi yake kufikia kujiingiza kwenye hualifu, uporaji kwa kutumia chombo chenyewe, uporaji wa pikipiki na mauaji yake, ajali za pikipiki na n.k
Tuje kwenye matumizi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.