wachoma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtoa Taarifa

    Msumbiji: Waandamanaji wachoma Moto kituo cha Polisi, Majengo ya Maafisa na Ofisi za Frelimo

    Wananchi wanaodaiwa kutokubaliana na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu katika maeneo ya Lalalua na Nampula wamechoma Moto Kituo cha Polisi cha Moma ikiwa ni mwendelezo wa Maandamano ya kupinga matokeo hayo Imeelezwa kuwa Wananchi hao walichukua Silaha aina ya AK 47 na kuchoma majengo mengine zaidi...
  2. Mjanja M1

    Korogwe: Bodaboda wadaiwa kuchoma basi la Saibaba baada ya mwenzao kugongwa

    Basi la Kampuni ya Sai Baba linalofanya Safari kutoka Dar es Salaam kuelekea Mkoani Arusha limeteketezwa kwa Moto mara baada ya kusababisha Ajali kwa kumgonga Dereva wa Bodaboda na kudaiwa kusababisha kifo kwa dereva huyo wa Bodaboda katika eneo la Msambiazi wilayani Korogwe mkoani Tanga leo...
  3. J

    Waislam wa Pakistan wachoma moto Makanisa na nyumba za wakirsto Tarehe 15 Agosti, 2023

    Fikiria Taifa la Pakistan ambapo Jamii ya Waislam ndyo wengi takribani 98% wakati Wakristo ni asilimia 1.5% tu, halafu bado Jamii hiyo ya Waislam walio wengi hawaonyeshi huruma hata kidogo kwa wenzao ambao wingi wao ni kama tone la maji kwenye ndoo ya lita 20. Kwa taarifa tu ni kwamba nchi ya...
  4. MK254

    Video: Waasi wavamia tena Belgorod, Urusi, wachoma majengo

    Hawa ni Warusi wanapiga kwao ndani, Putin alianzisha wenzake wanamaliza.... 30,290 views Jun 1, 2023 #belgorod #ukraine #russia Pro-Ukraine volunteer fighters set several buildings on fire as they shelled the border town of Shebekino using Soviet-era Grad rocket systems, it has been...
  5. JanguKamaJangu

    Morogoro: Wananchi wachoma ofisi ya kijiji Kilombero, wawili wauawa

    Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Ikwambi kata ya Mofu tarafa ya Mngeta Wilaya ya Kilombero wanadaiwa kuchoma moto ofisi ya Serikali ya Kijiji cha Mofu kutokana na kutoridhishwa na maamuzi yanayotolewa na viongozi wakati wa utatuzi wa migogoro ya wakulima na wafugaji. Akizungumza na Mwananchi...
  6. Meneja Wa Makampuni

    Singida: Wanafunzi wachoma moto pikipiki ya mwalimu na kufyeka shamba lake la mahindi

    Kamanda wa Jeshi Ia Polisi mkoani Singida, Stella Rutabihirwa amethibitisha kushikiliwa kwa wanafunzi sita wa kidato cha tano na sita Mchepuo wa CBG, kutoka Shule ya Sekondari Mwenge iliyopo Manispaa ya Singida kwa tuhuma za kuchoma Pikipiki ya mwalimu wa shule hiyo na kuharibu mazao...
  7. John Haramba

    Wanafunzi wachoma moto pikipiki ya mwalimu, wafyeka shamba kisa adhabu ya kukutwa na simu shuleni

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linawashikilia wanafunzi sita wa Shule ya Sekondari Mwenge iliyopo Kata ya Majengo Wilaya ya Singida kwa tuhuma za kuchoma moto pikipiki ya mwalimu yenye namba za usajili MC 653 BFS pamoja na kufyeka mahindi yaliyooteshwa katika shamba la mwalimu huyo lenye...
  8. Jerlamarel

    Songea: Waumini wachoma Kanisa kwa hasira baada ya Padre kukataa kwenda kumzika muumini

    Padre alikataa kwenda kumzika muuamini (sababu bado haijajulikana), waumini wamezika baada ya kumaliza kuzika wakaenda Parokiani wakachoma kanisa kwa hasira.
  9. Miss Zomboko

    Wanafunzi wachoma bweni la shule kisa mechi ya Man United Vs Liverpool

    Wavulana wanne wa shule nchini Kenya wanashikiliwa katika mahabusu ya polisi kwa kulichoma moto bweni la shule yao, baada ya kuripotiwa kunyimwa ruhusu ya kutazama mechi kati ya Liverpool na Manchester United, umeripoti wavuti wa Daily Nation nchini humo. Lilimnukuu mkuu wa polisi wa eneo...
Back
Top Bottom