Sipo hapa kulalamika na wala sio kawaida yangu kuandika uzi wa kulalamika, binafsi matokeo ya leo hayawezi nifanya kukata tamaa kwani naijua football vizuri, bado timu ina nafasi ya kufanya vizuri katika mashindano yote inayoshiriki.
Wala sitaki kupeleka lawama zangu kwa kocha huyu mpya kwani...
Hii kitu nimeipenda sana, viongozi wa yanga wamepata shutuma za Kila aina wiki hizi tatu, timu ya yanga imechambuliwa na Kila mchambuzi na maneno yake, kocha kafukuzwa na wachambuzi.
Lawama za Kila aina zimerushwa kwa yanga baada ya kupoteza mechi 2 dhidi ya Azam na Tabora united, lakini...
Ni jambo la kusikitisha na uzuni sana wachezaji wetu wamepigwa usinga tayari pale Azam Complex hatutakiwi kurudi pale hadi tujiweke sawa.
Tulishawaambia kabla ya match ya Azam VS Yanga wazee kutoka Pemba walikuwa wanausomea ule uwanja wiki zima bado midawa yao inanguvu kwa sasa pale hapatufai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.