viongozi wa vyama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Pre GE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi: viongozi wa vyama vya siasa msiingilie majukumu ya watendaji wakati wa uandikishaji wa wapiga kura

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewasihi viongozi wa vyama vya siasa kutoingilia utekelezaji wa majukumu ya watendaji wa vituo wakati wa uandikishaji wa wapiga kura. Angalizo hilo limetolewa mjini Kibaha na Kaimu Mkurugenzi wa tume hiyo, Mtibora Seleman, alipokuwa akizungumza kwenye mkutano wa...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Sipendezwi na tabia ya Baadhi ya Wafuasi na viongozi wa CHADEMA kuita viongozi wa vyama vingine Majina ya Matusi, kejeli na dhihaka

    SIPENDEZWI NA TÀBIA YA BAADHI YA WAFUASI NA VIONGOZI WA CHADEMA KUITA VIONGOZI WA VYAMA VINGINE MAJINA YA MATUSI, KEJELI NA DHIHAKA Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Unaweza kutofautiana na Mtu kimtazamo, kidini, kiitikadi, kielimu,kimaumbile, kihadhi, kiuchumi, kiukabila miongoni mwa mambo...
Back
Top Bottom