Maandamano yanayoendelea nchini Kenya, binafsi hayajanivutia kwa sababu hayana lengo linaloeleweka.
Uharibifu unaofanywa na waandamanaji kama kuiba na kupora Mali za watu hii inaonyesha maandamano hayo hayana lengo.
Ilianza na kutaka budget irekebishwe kwa kile walichodai maisha magumu...