Hii ndiyo tabia ya viongozi wetu kupenda kusafiri, kuiona dunia. Yaani hata wanatafutiwa Ndege kwa ajili ya safari tu! Hiyo ni kazi ya maendeleo ya Taifa?
Wakati MV Bukoba inazama mwaka 1996, waziri mkuu wa Taznzania Ndg. Sumaye alikuwa ziarani Kusini mwa Afrika. Ikatangazwa ni janga la...
Baada ya kuwasikiliza wakazi na viongozi hawa wa tarafa ya Ngorongoro, nimegundua yafuatayo:
1. Kuna agenda mbaya ya siri dhidi ya Wamasai hawa wa Ngorongoro inayofanywa na serikali ya CCM chini ya Rais Samia Suluhu Hassan. Wanaiuza ardhi ya Ngorongoro kwa waarabu?
2. Kumbe wakazi wa...
Salaam Wakuu,
Ni aibu kubwa mbele ya Dunia kuna Misafara ya Viongozi wa Tanzania inavyokuwa Mikubwa. Magari Zaidi ya 300 yanamfuata Mtu Mmoja tu.
Magari ya Ulinzi sina tatizo nalo, ila magari ya Watu eti Waziri, Katibu, Mkurugenzi Mkuu wa Mkoa na Wilaya, IGP, nk wote kila mtu anaenda na gari...
Maandamano yanayoendelea nchini Kenya, binafsi hayajanivutia kwa sababu hayana lengo linaloeleweka.
Uharibifu unaofanywa na waandamanaji kama kuiba na kupora Mali za watu hii inaonyesha maandamano hayo hayana lengo.
Ilianza na kutaka budget irekebishwe kwa kile walichodai maisha magumu...
Ni basi tu Wakenya wamepinda kama Wazulu wa South Affruca ila unapo kuja kuangalia kiwango cha Viongozi kuwasikiliza wananchi, basi Kenya kuna unafuu ukilinganisha na Tanzania, shida iko tu kwamba Tanzania ni mazeseta basi.
Viongozi wamejawa sana na Viburi na Dharau sana n kebehi, nakumbuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.