Habari wakuu,
Wale wapenzi wa mpira kuna wakati unatizama mechi za NBCPL unashangaa wachezaji wanashangilia goli, unajiuliza wamefunga saa ngapi na wwmefungaje fungaje!
Unasubiri replay, napo unaona video nzuri lakini wachezaji wanaonekana kama sisimizi huwatambui vizuri licha ya kuwa...
Anahitajika Mwalimu wa muda " part-time" mwenye uzoefu Video production, Video graphic, Graphic design na Electronic media, mwanafunzi anaishi Dar es salaam, asanteni.
Habari.....!
Nauza Taa za Video Production, 8 tube led light.
Dukani utaipata kuanzia 300,000.
Mimi nakupatia hii kwa 170,000.
0686279540
Dar es salaam.
Mac Pro mpya ni game changer Kwa all creaters, 3D Animations, graphics designers, videos production .
Apple wamekuja na chip Yao wenyewe from silicon na upanuzi wa PCIe kwa workflows Kazi za production.
Chip ya M2 Ultra mpya - chipu yetu yenye nguvu na uwezo zaidi kuwahi kutokea.
24-core...
Habari wadau.
Tumefungua Ofisi mpya studio tunatafuta kazi za video production, kuandaa matangazo, video shooting, Event Management kwa mwenye dili hilo anicheki tuangalie tunafanyaje.
NB: Malipo yapo kwa atakayeleta dili.
Wakuu kwema? Nilikuwa naomba ushauri wa duka au sehemu gani naweza nunua desktop computer yenye uwezo mzuri wakufanyia kazi zangu za productions (video editing na graphic design). Nina bajeti ya shilingi laki tano.
Ahsante
Utangulizi
Glaness graphics and design inamilikiwa na Flydream Company Limited. Inahusika na huduma mbalimbali mfano kutengeneza flyers, banners, video editing, video shooting, T-shirt printing n.k
Tunatafuta mtu aliye tayari na uzoefu katika maeneo haya:
Sifa
1. Uwezo wa kutumia computer...
Habari wana jamii Ni matumaini yangu ni wazima wa Afya Kikiwa kimepita kipindi kirefu toka Nilete maombi kwenu.
Niseme tu Asante Kwa waliokuja na kunipa mawazo na kunisahauri ila Nakuja tena mbele yenu kwa unyeyekevu Nikiomba ni mpate muwekezaji ili kuweza kulikamilisha wazo langu Baada ya...
Hellow,
Poleni na majukumu. Nina imani mu wazima. Wakuu naomba mnifahamishe kwa hapa Dar ni chuo gani kizuri, ambacho mtu anaweza akasoma mambo ya production na akaiva vizuri?
Hapa namaanisha mambo ya Media. Yaani kuna mtu alisoma mass communication lakini aka specialise kwenye uandishi wa...
Nadhani kwa wale wenye idea na mambo ya movie making wanaelewa ila lengo la kuanzisha hii thread ni kukutanisha watu wenye mawazo tofauti ya idea moja.
Na sio mawazo tu hata nyenzo(vitendea kazi) naamini tupo vijana wengi ambao tuna idea ila jinsi ya kuzifikisha kuna vitu vinatukwamisha kama...
Naomba kuuliza wanaofanya/waliowahi kufanya hii biashara
Camera gani nzuri kufanyia video na photo shooting?
Camera ziwe ngapi katika usiku wa shughuli kwa ufanisi zaidi?
Wanaepukaje changamoto ya kuishiwa battery charge?
Kwa tanzania hususan Mbeya, huwa wanalipwa kiasi gani kwa hii shughuli...
Vifaa hivi vinauzwa kwa ajili ya matumizi ya Go Pro camera vifaa vya kufungia sehem mbali mbali kwenye maji, gari, pikipiki na hata baiskel kwa angle unayotaka na ukapata shoot yako nzuri na kwa position unayoitaka.
Jipatie vifaa hivi kwa 100,000/= & 150,000/= vinakua box.
CALL WHATSAPP &...
Kwa wanaotaka kujifunza zaidi ya online kupitia YouTube channel yangu ya Director chuma mnaweza kujiunga na chuo ninachofundisha bagamoyo kwa sasa
karibuni sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.