Habari zenu Wanajamiiforums.
Kwa mda niliotumia kumuomba Mungu na kutokupata majibu yoyote, nahitimisha kuwa nguvu za Mungu si nyingi kama tulivyoaminishwa.
Aisee nataka kuamia Mizimuni, Anayejua namna ya kutambikia Mizimu anielekeze, Mungu aliyeletwa na meli kwenye maisha yangu amefeli (Hana...
Ewe mzazi ukiona mtoto wako mdogo anapinga uwepo wa mungu usimshangae au kumwadhibu kwa sababu hiyo ni dalili kuwa mtoto wako anajaji Kila kitu anachoambiwa na mtu mwingine hata kama anamuheshimu kwa mfano mzazi.
Kwenye utamadauni wa kiafrika mtoto hatakiwi kipinga mawazo ya mtu mzima au mtu...
Kwanini mnaomba maisha marefu hapa duniani wakati kuna maisha mazuri mbinguni kwa baba?
Kwanini kifo kinaogopwa wakati ni njia ya kwenda kwa baba kula raha, kufurahia maisha mazuri yasiyo na dhiki?
Wasalaam.
Nipo kwenye Group Moja la rapa mahiri na storyteller matata Sasa DIZASTA VINA,
Nimesha sikiliza ngoma zake kadhaa kama Vile kanisa ambazo ame jitanabaisha kuwa yeye haamini uwepo wa Mungu
Siku za karibuni alivyo achia ngoma ya TRIBULATIONS Ile aliyo mdiss Rapcha ame nukuliwa akisema...
Kuna wasiaminini , walisema Mungu haonekani, hasikilikani, hupati hisia ya harufu yake, wala hisia ya aina yoyote ya uwepo waje . Kwa hivyo hakuna Mungu.
Jibu alilojibiwa
Jee hayupo au humjui kutokana na upeo wenu mdogo?
Wakaulizwa twambieni, ndani ya chumba kinachofuata mnajua mnanini...
Jamaa mmoja hivi anapinga sana uwepo wa Mungu,
Mishipa inamsimama kudai Mungu hayupo, na anatoa hoja za kifedhuli kweli kweli,
Sasa leo ushahidi wa mazingira umeonesha kwamba jamaa ni mkiristo tena ana hasira Kweli kweli kutajwa vibaya wakristo,huyu tumuweke kundi gani?
Hoja Za Mungu ni ngumu kuelewa ila pia ni nyepesi kuelewa ukitumia akili vizuri sana
Let me go straight to the topic
Kwanini Mungu ameruhusu wanadamu kuteseka? Ukweli ni kwamba Mungu Hajaruhusu mwanadamu kuteseka ila mwanadamu anajitesa mwenyewe
Katika maandiko ya Biblia inasema Mungu...
Ndugu zangu niwasalimu kwa jina la mizimu ya mababu wema walio itunza asili ya kiafrika, mizimu iwalaani mababu waovu walio rubuniwa kupoteza uafrika na kutuletea Imani za ajabu zisizo kuwa na matokeo...!
Kwenye maisha yangu niliwahi kutekwa na Imani ya dini Fulani ambayo kupitia mafundisho ya...
Kuna maada mbalimbali zimeanzishwa humu kuhusu Ushaidi wa uwepo wa Mungu, Mimi leo natoa ushahidi wangu wa uwepo wa Mungu kwa kujenga hoja kutokana na Tofauti ya dini.
Swali la Musingi ni ‘kwa nini kuna dini ama imani tofautitofauti na zingine zinapingana juu ya namna ya njia sahihi ya...
Salamu kwa nyote mnaosoma uzi huu.
Baada ya kufikiria kwa kina basi haya ni maswali yangu matano kuhusu ubongo wa binadamu.
Swali 1: Kama binadamu amegundua computer, na haya mambo yote tunayoyaona kuhusu teknolojia, Je ni kitu gani kitakuja kuvumbuliwa na binadamu ambacho kitashinda uwezo...
Utafiti mpya uliofanywa na Chuo Kikuu cha Queen’s, Belfast, umebaini kuwa nchini Uingereza, idadi ya watu wasioamini uwepo wa Mungu imezidi wale wanaoamini.
Matokeo haya yanatokana na utafiti wa miaka mitatu unaofanywa kimataifa ili kuchunguza sababu za kuongezeka kwa ukosefu wa imani. Karibu...
Angalia majengo ya makanisa mtaani kwako, kwenye maeneo yote uliyowahi kutembelea! Angalia gharama za ujenzi wa hayo majengo! Angalia watu wanaohubiri injili katika maeneo ya makusanyiko stand za magari, matamasha, nk. Hawa watu usidhani wote ni wajinga! Haiwezekani kuongelea kitu ambacho hakipo!
Nipo huku kijijini matolwa nawitwa Judah Kama kichwa kisemavyo Kuna mtu humu alikuwa ni mbishi sana kuhusu uwepo wa Mungu kuliko wote ambae ni min -me maana huyu alikuwa mbishi sana kuliko hata huyu Kiranga lakini baada ya kuelimishwa na kuthibitishiwa na walokole humu kuwa Mungu yupo Kawa...
Salaam
Sheria ni mkusanyiko wa vifungu vinavyoetanabaisha hatua stahiki/sio stahiki katika utaratibu wa kulifanya jambo, lakini sheria hua na kawaida ya kugeneralize(jambo huelezewa kwa ujumla) mfano katiba ya nchi.
Je, mawazo ya sheria yanatako wapi?
Kimsingi wazo la sheria hutokana na...
Hawa watu msiwatukane, wasikilizeni maana Wana maana Yao kusema hivyo, wengi wao wanaoamini hivyo wameamua kua hivyo kutokana na magumu na machungu waliyokutana nayo kwenye maisha na walipomuhitaji Mungu hakuwasaidia.
Unakuta mtu ana jambo linalomnyima furaha kwenye maisha, ametafuta msaada kwa...
Habari wana-JF,
Kumekuwa na uwepo mkumbwa wa atheist duniani, sasa unahisi nini kifanyike kuokoa ndugu zetu?
Na wapi tunapofeli? Na kama tukishindwa kukemea basi tuwachukie kwa moyo wote.
Tujitahidi kusaidia atheist wanapotea vibaya mno.
Watu wanateseka, miaka na miaka hawapati suluhisho, najiuliza kwanini Mungu anaruhusu vitu kama hivyo? Utakuta kitu cha miaka na miaka kinamtesa mtu, tena wasio na hatia, tena wanaotenda mambo yanayompendeza yeye Mungu lakini unakuta wanateseka tuu.
Siku zinavyozidi kwenda naona kabisa itafika...
Ndugu Wana JF,
Nataka tushirikishane kuhusu matukio ambayo yaliwahi kutokea yakafanya niamini uwepo wa Mwenyezi Mungu. Mimi binafsi, kama muumini wa dini ya RC, kuna kipindi mdogo wangu aliwahi kusumbuliwa sana na ushirikina. Kwa kuwa imani yangu ilikuwa 50 kwa 50, nilikuwa nampeleka mpaka kwa...
Ujue siwaelewi.
Nashindwa kuelewa mpaka sasa huyo Mungu anayepata sifa kede kede katika hivyo vitabu vyenu Biblia na Quran mpaka sasa hizo sifa zake ameshindwa kuzionesha kwa wafuasi wake.
Angalia wafuasi wake pale Palestine wapo tayari kwa nguvu zao kulinda ule msikiti usitwaliwe na waisrael...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.