Habari za wakati huu!!..Kuna hili suala la uvutaji wa sigara Kila mahali,wavutaji hawajali wengine ambapo hawavuti,hawazingatii eneo wenyewe watakapo jisikia kuvuta eneo lolote wanavuta si barabarani,eneo lenyewe mkusanyiko wa watu hawajali Hilo. Hili suala linakera sisi wengine ambapo sio...
Tabia inayofanywa na wavuta Sigara.
Kutendo Baadhi ya wavutaji wa Sigara ni kwenda Dukani kununua Sigara na kuiwasha papo hapo na kuanza kuvuta bila kujali Afya ya Watejá wanaohudumiwa hapo.
Inabidi ziwekwe sheria ndogo ndogo za kulinda Afya za wengine ambao sio watumiaji. Hivi mvutaji Wa...
Unaruhusiwa kubeba bangi kiasi cha gram 25 , unasokota na kuvuta hadharani.
---
FRANKFURT, Germany (AP) — Marijuana campaigners in Germany lit celebratory joints on Monday as the country liberalized rules on cannabis to allow possession of small amounts.
The German Cannabis Association, which...
Mara nyingi nikiwa na stress na kupelekea kukosa usingizi, huwa navuta sigara ili kupunguza stress hizo. Hata iwe usiku wa manane nitajitahidi niende kwenye Club zinazokesha nikafuate sigara.
Suala la kuwa inanisaidia au lah, sidhani lakini pale napokuwa navuta huwa nakuwa katika hisia nyingine...
Hii bhana huwa inasaidia sana baada ya kula au kushiba sanaa ukitumia sigara basi muda huo huo utaanza kuhitaji kutumia maliato kwa haraka sanaa. Nani mwingine amegundua hili
Habari zenu wakuu,
Naomba kuuliza hivi kuna sheria yoyote Tanzania kuhusiana na uvutaji wa sigara (fegi,Chiga,mufe,filter)
1. umri sahihi wa kutumia au inaruhusiwa hata kwa mtoto wa miaka 10.
2. Maeneo husika ya kuvutia sigara,au ni ruksa popote pale .unachoma uliponunua?
3. Ni,kosa kwa afisa...
"Nchi nyingi Siku hizi tena zilizoendelea kama ninayosafiri sana ya Netherlands na nyinginezo zinaruhusu Uvutaji wa Bangi kwa Raia wake wanapotaka sioni sababu ya Tanzania kuzuia wakati Bangi nayo ni Burudani na ina Starehe yake" amesema Mtangazaji wa Wasafi FM Zembwela (Hillary Daud) akiwa...
Ikiwa madhara ya matumizi ya tumbaku/sigara ni makubwa kwa kiwango tunachoambiwa na wataalamu wa afya; kwanini Serikali isichukue hatua za kupiga marufuku kabisa uvutaji na ulimaji wa zao la tumbaku ili kuwanusuru Watanzania na vifo vinavyotakana na matumizi yake?
Kama tumepiga marufuku...
Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imekasimishwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto jukumu la kudhibiti bidhaa za tumbaku kuanzia tarehe 30 Aprili, 2021 kupitia Tangazo la Serikali Na. 360.
Kifungu cha 12 cha Sheria ya Udhibiti wa Bidhaa za Tumbaku, Sura 121...
Bei za baadhi ya sigara nchini Tanzania kutokana na majibu ya wauzaji wa Sigara mnamo mwezi July 2021 wilayani Pangani Mkoani Tanga.
BAADHI YA SIGARA
BEI ZA SIGARA HIZO KWA SASA
BEI YA PAKTI MOJA
BEI YA SIGARA MOJA
Winston & Master Club
Tsh1600/=
Tsh 100/=
Sports Club & Sm...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.