uti sugu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, UTI ni ugonjwa wa ngono?

    Wasalaam Sana wajumbe. Kumekuwa na dhana iliyojengeka miongoni mwa wanajamii kuhusu ugonjwa wa Urinary Track Infection UTI ambao unawakumba watu wengi nyakati hizi bila kujali umri wala mazingira anayo kaa mtu. Je UTI ni ugonjwa unaoambukizwa kwa kujamiiana.? Nauliza hivi kwa Sababu Kuna msemo...
  2. kwa nini siku hizi watu wengi wanaumwa vidonda vya tumbo na UTI kuliko miaka ya 2000 kurudi nyuma?

    Ukichukua watu kumi wa mjini ni nadra sana kukuta kati yao hakuna mmoja ambaye hasumbuliwi na vidonda vya tumbo. Mara ya kwanza nasikia kuna ugonjwa unaitwa UTI ilikuwa 2008 kwa mdau wangu mmoja jijini DSM. Cha kushangaza miakq ya hivi karibuni imekuwa kama fasheni hasa vijana wa kike na wa...
  3. Nitumie mbinu gani kupambana na hii UTI?

    Jamani ndugu zangu habari za muda huu? Hivi ni mimi tu au na nyie ndugu zangu kila nikipata demu lazima aniachie UTI, yaan imeshakuwa kero sasa dawa zenyewe zinadunda tu. Nitumie mbinu gani wapendwa?
  4. Ukweli Usemwe: Baadhi ya Wanawake wazuri wanasumbuliwa na UTI sugu

    Huu ni ukweli ambao wapiganaji wengi wanaogopa kusema kwa uwazi. Usiombe ujichanganye hovyo nyau nyau kwa pisi kali. Azuma haifanyi kazi kwa UTI ya kali jichunge, naishia hapa mtaongeza ushuhuda wenu. Jipende jilinde Chief Wadiz a.k.a Chief Mapenzi
  5. M

    Uume wangu kutoa usaha na maumivu wakati wa kukojoa

    Wakuu naombeni msaada, nilipiga show ya ovyo na mshangazi mmoja bila dhana matokeo yake ni hayo nikienda haja ndogo napata maumivu. Na pia uume wangu unatoa usaha rangi ya njano kila muda. Nimetumia AZUMA vidonge vitatu lakini bado sijaona dalili ya kupona NA HIZO DAWA NIMEMALIZA JANA. Nini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…