CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Serengeti kimelaani vikali matukio ya utekaji kuendelea hapa nchini yakihusisha viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa, kwamba vitendo hivyo vinaleta hofu kubwa kwa jamii.
Hayo yamebainishwa jana na Katibu wa Chadema Kanda ya Serengeti Jacksoni...
TLS tuliitisha Mdahalo wa Kitaifa kuzungumzia Utekaji Baadhi ya sababu kuu zinazochangia utekaji kulingana na mjadala ule ni pamoja na
Udhaifu wa mifumo ya utendaji wa Jeshi la Polisi ( Colonial Mentality ) na kutotenganishwa kwa shughuli za Upelelezi na Uchunguzi kutoka Jeshi la Polisi na...
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Deogratius Mahinyila anazungumza na Vyombo vya Habari muda huu akizungumzia sakata la utekaji nchini huku akianza kueleza namna ambavyo Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, alivyotekwa na kupotea tangu...
"Wizi umeota mizizi katika nchi yetu watu wanaiba kila kitu, wanaiba kura. Na ninyi mmeshuhudia juzi tu kwenye mambo haya ya kura kura pamoja na kwamba tumesikia ucaguzi umekuwa huru na wa haki, si kweli. Na wengine kwa ajili ya kutaka kupata nafasi wamewaua wengine, ndugu zangu tunapaswa...
Taifa lenye misingi ya maarifa ya ukatiba thabiti na Demokrasia haliwezi kuwa na watu dhaifu katika kuishi kutenda haki na wajibu kwa misingi katiba na sheria, pia kuheshimu muundo wa demokrasia.
Taifa lolote hutegemea maarifa ya tasnia ya sheria, political administration, policies...
Nimekaa nikatafakari kuhusu matukio ya utekaji yanayoendelea Nchini, sisi Wananchi tumekuwa tukiumia kadiri siku zinavyoenda, matukio ya utekaji yanaendelea, imani yetu kwa vyombo vya Ulinzi inaanza kupotea.
Mawazo hayo yamekuja baada ya kuona tukio la Mfanyabiashara Deogratius Tarimo...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo Septemba 16, 2024 akiwasili katika Baraza la Maulid yanayofanyika kitaifa mkoani Geita. Picha na Bakwata
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), limeungana na wadau wengine kusisitiza uchunguzi huru dhidi ya matukio ya utekaji na mauaji ya raia.
Kauli ya...
Yule Rais wa Watu Rais wa Kitaa ametoa wito kwa watu wote wenye mapenzi mema kuungana kukemea hali ya kutisha inayoshamiri na kuharibu Taswira ya Nchi yetu.
Msanii huyo wa Nyimbo za mziki wa kizazi kipya maarufu kama Bongo fleva ameonekana kupokelewa ujumbe wake na idadi ya watu wengi kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.