Rais wa Marekani, Donald Trump, amemwonya Rais wa Urusi, Vladimir Putin, kumaliza "vita vya kipuuzi" nchini Ukraine au akabiliwe na ushuru mkubwa na vikwazo zaidi.
Kupitia jukwaa lake la Truth Social Jumatano, Trump alisema ana uhusiano mzuri na Putin lakini akasisitiza kuwa ni wakati wa...