urusi na marekani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Z

    Ni watu wa aina gani wanaofanya kazi Ikulu ya Marekani au Urusi??

    Eti wakuu, leo wakati ninatazama Al Jazeera ghafla ikaja akili mwangu kujiuliza, hivi Ikulu za nchi kama Marekani, Russia, China au Uingereza kuna watu wa aina gani kule wanaajiriwa?? Kwa maana wale jamaa, habari za dunia nzima wanazo, brands zote kubwa duniani ni zao (Google, Microsoft, Meta)...
  2. Rorscharch

    Ukiona Nchi Yako Haitofautiani na Marekani, Jua Wanakumudu (Nyuki wa Mashineni): Ukoloni Mamboleo na Sanaa ya Kucheza Karata Mbovu

    Marekani imekuwa, na inaendelea kuwa, nguvu kuu inayotawala siasa za kimataifa kwa mkono wa chuma uliofunikwa kwa glavu ya hariri. Hakuna taifa linalojiita huru lakini likakubali kuwa na mahusiano mazuri na Marekani bila kutoa kafara misingi yake ya uhuru. Ikiwa nchi yako haipingani na Marekani...
  3. I

    Trump aiambia Russia ichague mazungumzo na Ukraine au vikwazo zaidi hadi ifilisike kabisa

    Rais wa Marekani, Donald Trump, amemwonya Rais wa Urusi, Vladimir Putin, kumaliza "vita vya kipuuzi" nchini Ukraine au akabiliwe na ushuru mkubwa na vikwazo zaidi. Kupitia jukwaa lake la Truth Social Jumatano, Trump alisema ana uhusiano mzuri na Putin lakini akasisitiza kuwa ni wakati wa...
  4. G

    Biden kabakiza miezi miwili mjengoni kaanza kumharibia nyumba mpangaji mpya, Kwa maksudi anaichochea vita ya Ukraine ili kumwangushia jumba bovu Trump

    Trump aliapa atawekeza nguvu kubwa kuleta makubaliano ya kuituliza vita ya Ukraine na Russia, Siku chache baada ya kushinda uraisi, Putin rais wa Urusi alisema yupo tayari kwa majadiliano ya kuimaliza vita. Hii imewauma sana Democrats, Kwamba Trump anaenda atajizolea points akiimaliza vita...
  5. PathwayzZote

    Ukweli kuhusu maisha ya Urusi na Marekani

    Mzuka wana JF Kuna wadau humu wanapenda kuiponda sana marekani totaly (sio kwamba nasema marekani haina maovu ) wanasema russia ndo kila kitu na wengine wanafika hatua ya kuita Russia ni taifa teule. Lakini kila siku wanalilia visa za kwenda Marekani. Guys twende mbele turudi pembeni, wana...
Back
Top Bottom