Ni kweli ina nia ya kusaidia janga la njaa. Lakini kwa nini kila wakati wa kuuza bei ya chini ni wakulima tuu.
Kwanini bidhaa nyigne hatua kama hizi hazichukuliwi. Sisi tunaotoa muda wetu kulima na kudharaulika tunalazimishwa kulisha watu wavivu na wengine wanaotukashifu tunapoingia shambani...
Idadi hii inatajwa kuongezeka kutoka zaidi ya watu milioni tatu mwaka jana huku zaidi ya watoto 900,000 walio chini ya umri wa miaka mitano wamegundulika kuwa na utapiamlo.
Inaelezwa kuwa sehemu kubwa ya mikoa ya kaskazini-mashariki, inakabiliwa na uhaba wa chakula kutokana viwango vya chini...
Ni wakati ambao mabadiliko ya tabia ya nchi yamechukua nafasi katika ulimwengu huku tukiwa tunashuhudia ongezeko la joto na upungufu wa mvua katika baadhi ya maeneo nchini. Mazingira yanatuma taarifa kwa ulimwengu kama tunahitaji kuyategemea basi tunajukumu la kuyatunza na kuyalinda.
Viongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.