Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu! Wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke?
Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea...
Uislamu unasisitiza uhuru wa dini na haki ya kila mtu kuchagua dini yake bila kulazimishwa. Hii inathibitishwa katika aya maarufu ya Qur'ani:
- Qur'ani 2:256 (Surat Al-Baqarah):
Aya hii inaonyesha kuwa Uislamu unaheshimu haki ya mtu binafsi kuchagua dini yake, na hakuna mtu anapaswa...
Kama wote tunavyojua, Dini ni miongozo ya kiimani hapa Duniani, mafundisho yake utupa njia na namna ya kuishi hapa duniani kwa kufuata miongozo ya mnae mwabudu.
Leo nitazungumzia kwa nini siku za Kuabudu utofautiana katika kila Dini na nitajikita zaidi kwenye Dini zenye chimbuko la Ibrahimu au...
Huwa napata shida sana tangu niko mtoto na hii inaniumiza sana binafsi mm Siamini dini yeyote kati ya ukristo wala uislamu sasa hivi mnaavyosema ety Jerusalem maka na madina ni miji mitakatifu mna maana gan kwaiyo huku kwetu africa dar es salaam nairobi Accra Lusaka adis Ababa Kampala Ni...
Katika baadhi ya nchi za Kiislamu, sheria za kidini (Sharia) zinaweza kumhukumu mtu anayekataa au kuacha imani ya Uislamu kwa adhabu kali, ikiwa ni pamoja na hukumu ya kifo. Hii ni kutokana na tafsiri za sheria za Kiislamu kuhusu “kufuru” au “apostasy” (kuasi dini). Ingawa si nchi zote za...
Hapa kuna orodha ya nchi zinazoongozwa kwa sera za kidini au ambazo dini ina ushawishi mkubwa kwenye serikali na sheria za kitaifa. Nimezipanga kulingana na dini husika:
1. Uislamu (Nchi za Kiislamu)
Nchi hizi zinafuata sheria za Kiislamu (Sharia) kikamilifu au kwa kiwango kikubwa katika mfumo...
Admins. Naona mnaondoa hizi Videos ambazo zinazungumza kwa ushahidi na wala si kashfa wala matuzi. Leo admin uliyepo ni yupi ambaye hutaki ukweli? Hakuna matusi wala kashfa.
Uhusiano kati ya Uislamu na ulimwengu wa kisasa ni mada tata na yenye utata. Wengine wanasema haya mawili hayana utangamano wowote, huku wengine wakidai kuwa Uislamu unaweza kubadilika na kukua ili kukabiliana na changamoto za ulimwengu wa kisasa.
Nimeona ukristo unajitahidi kuendana na hii...
Uhusiano kati ya Uislamu na ulimwengu wa kisasa ni mada tata na yenye utata. Wengine wanasema haya mawili hayana utangamano wowote, huku wengine wakidai kuwa Uislamu unaweza kubadilika na kukua ili kukabiliana na changamoto za ulimwengu wa kisasa.
Nimeona Ukristo unajitahidi kuendana na hii...
Hawa ni wainjilisti wa kikristu walioleta chachu ya mabadiliko makubwa ya kiimani katika jamii za wafulani na wahausa Nigeria kaskazini
Baada ya kukiri imani juu KRISTU YESU wamekuwa msaada mkubwa katika kuwakaribisha wageni kwenye Imani na kuongeza utukufu kwenye taifa la Mungu
Lakini mbali...
Katika historia inaonyesha kabla ya Ukristo na Uislamu baadaye kulikwa na dini kubwa za maeneo mbalimbali lakini hazikuwa dini za kidunia kama Ukristo na Uislamu ambavyo zimekuwa dini za kidunia.
Je kuna uwezekano zikaja dini nyingine zikapiku Ukristo na Uislamu na kuwa dini za kidunia au...
Astaghafilullhah... Hawa Wachina wana akili kweli? Wanajielewa? Mbona wana ongea kwa kujiamini hivi? Wanazijua haki za binadamu kweli? Kama wasingekuwa wameandika hivi Al Jazeera nisingeamini kabisa. Laaana kum.
===============
Abdulla* goes to bed every night dreading that knock on the door...
Ukimwi ni "Upungufu wa kinga za mwili". Virusi vya ukimwi haviui! Vikishashambulia na kuua kinga ya mwili "white blood cells" baaasi!
Magonjwa yoooote nyemelezi yanatia timu na kuanza kufanya sherehe ya kukutafuna taratibu mpaka unakufa. Sasa kwa upande wa "pombe" ndivyo ilivyo.
Pombe yenyewe...
Mufti na Shekh Mkuu wa Tanzania Alhaji Dkt. Abubakar Zuber Bin Ally Mbwana amewataka Waislamu kote Nchini kuendelea kuhubiri amani na kuachana na vitendo viovu vitakavyopelekea uvunjifu wa amani ya Nchi.
Mufti amesema hayo katika Sherehe za Maulid ya Kitaifa iliyofanyika katika Viwanja vya...
Anasema Mtume na Maswahaba wake hawakufanya hivi. Hawakuwa wakibweka asubuhi kujifanya wao ndo wanaswali sana kuliko wengine. Pata habari kamili.
Video inaonyesha ilikuwa ya mwaka 2001 wakati Sheikh Saleh Zagar akiendelea kuzungumza na baadhi ya waumini moja ya Msikiti.
Niko kwenye runinga tangu asubuhi nafuatilia ndugu zangu waislamu na mashindano ya Quran kwa wasichana na mgeni rasmi ni Rais Samia.
Kitu ambacho sijakielewa kuna kamari (maana sina jina mbadala) inachezeshwa na waandaji Bakwata ambapo smartphone, pikipiki, bajaj na magari vinashindaniwa kwa...
Habarini!
Hongereni kwa michango yenu kabambe inayoendelea humu ingawa mingi yenu, haswa siku hizi, imeathirika mno kwa itikadi za kisiasa na dini. Nimeona hii iwe mada yangu ya kwanza kabisa tangu nijiunge humu. Nawaomba muishiriki ipasavyo na kunipatia michango yenu🙏🙏
Kama kichwa Cha habari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.