uhuru wa kuwasiliana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Kuelekea 2025 Hayati Magufuli kuvunja Katiba haihalalishi uonevu wa 'kupapaswa' unaofanywa na Rais Samia. Hatufanyii hisani ni haki yetu

    Wakuu, Nawashangaa nyuki wa mama na utetezi wenu wa kipuuzi, oooh ameruhusu mikutano ya siasa, oooh amerusu vyombo vya habari kuongea vitakavyo, oooh wananchi wanajiachia watakavyo mtandaoni, oooh this ...oooh that, upuuzi mtupu! Magufuli kuminya Katiba haimpi ruhusa Rais Samia kujifanyia...
  2. C

    Kuelekea 2025 CCM na Serikali tuambieni ukweli, kelele za kutaka X(Twitter) ifungiwe ni maandalizi ya kuzima mitandao kipindi cha uchaguzi

    Wakuu, CCM hivi hamuoni vibaya? Mpaka sasa Club House haipatikani halafu tena hao kunyanyua midomo eti mnataka kufungua X(Twitter) kwa kisingizio eti inahamasisha maudhui ya Ushoga! Huu ni mtandao pekee ambako kuna maudhui ya ngono nchini? Kuna Instagram, Tiktok, Facebook, huku hakuna...
Back
Top Bottom