Kijiji cha Busolwa eneo la Nyalugusu Mkoani Geita kuna Wachimbaji Wadogo na Wanachama cha Chama cha Ushirika cha Wachimbaji Wadogo cha Ifugandi wametishia kushiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mtaa endapo Serikali haitasikiliza malalamiko ya kufunguliwa kwa eneo lao la uchimbaji baada ya...
Ukimsikia Raisi anaongea kule Geita unaweza dhania ni eneo lenya maisha ya juu kabisa kwa Raia ila ukweli kuna umasikini mkubwa sana kwa raia pale Geita, nenda huko Geita Vijijini kwa Msukuma kule ndio balaa tupu ni full umasikini wa kuonekana kwa macho.
Hio Geita ukisikia wakina Musukuma...
Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa Barrick, Mark Bristow akiongea katika mkutano na waandishi wa habari ,viongozi wa serikali na wadau mbalimbali uliofanyika katika mgodi wa bulyanhulu jana,(Kushoto) ni Naibu Waziri wa Madini, Dk.Steven Kiruswa na (kulia) ni Meneja wa Barrick nchini,Melkiory Ngido...
WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amefanya ziara kukagua shughuli za uchimbaji madini na kusikiliza changamoto za wachimbaji wadogo katika eneo la Lemishuku,Wilayani Simanjiro eneo ambalo ni maarufu kwa uchimbaji wa madini vito ya Green Garnet
Waziri Mavunde amepata nafasi ya kukagua uwekezaji...
Shirika la Maendeleo la Taifa la Tanzania (NDC) limesaini mkataba wa dola za Marekani milioni 77 na kampuni ya Fujian Hexingwang Industry Tanzania ili kuwezesha uchimbaji wa madini ya chuma.
Mradi huo utajengwa katika Wilaya ya Ludewa, mkoani Njombe, huku uzalishaji wa chuma wa majumbani...
Swala la kuchimba madini kwenye hifadhi za Taifa kuna Move kari sana inachezwa ni kama zile Move za Kihindi, Stering wa move atakufa akiacha move ikiendelea.
Target ya kutaka kuchimba Madini kwenye hifadhi za wanyama ni ili kumega na baade kuuza baadhi ya hifadhi kwa kutengua sheria za hifadhi...
Hello JamiiCheck,
Nimeona mtandaoni ukurasa wa Mtandao wa X wa Watetezi TV ukikanusha madai ya kuwahi huchapisha taarifa ya Rais Samia akisema kuna madini kwenye baadhi ya hifadhi zetu na yanapaswa kuanza kuchimbwa kwakuwa Simba na Tembo hawali Madini.
Wao wanasema akaunti iliyoposti ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.