uchimbaji madini mbugani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Kuruhusu Ubinafsishaji na uchimbaji ndani ya mbuga zetu ni sawa na kuziuza?

    Salaam, Shalom!! Tumeambiwa kuwa, tembo na simba hawali madini, lakini hatukuambiwa wakati madini yakichimbwa ndani ya Serengeti, hao Simba watakuwa wapi!!? Kutoa lesseni ya uchimbaji ndani ya Serengeti ya miaka 100 Kwa mwekezaji, ni sawa na kumuuzia mbuga zetu Kwa maana uchimbaji lazima...
  2. BLACK MOVEMENT

    Uchimbaji wa Madini kwenye Hifadhi ni trela, Move ni kuuza pia baadhi ya hifadhi

    Swala la kuchimba madini kwenye hifadhi za Taifa kuna Move kari sana inachezwa ni kama zile Move za Kihindi, Stering wa move atakufa akiacha move ikiendelea. Target ya kutaka kuchimba Madini kwenye hifadhi za wanyama ni ili kumega na baade kuuza baadhi ya hifadhi kwa kutengua sheria za hifadhi...
  3. W

    Uchimbaji Madini katika Mbuga zetu Ufikiriwe mara mbili kabla ya hatua kuchukuliwa

    Kwako Mhe. Rais, Mhe. Rais wetu mpendwa, Suluhu Hassan, Nakupongeza kwa jinsi unavyo tujali watanzania, na roho yako ya upendo, kama ulivyosema unatumia maneno ya mama. Siku zote mama uwa na lugha ya upole na sikivu lakini mama ni nguzo kubwa ya Familia. Katika hotuba yako ulitoa agizo kuwa...
Back
Top Bottom