Binafsi si mwanachadema ila kipindi hiki nimefuatilia michakato ya chadema kuliko wakati mwingine wowote.
Moja ya suala lililonifikirisha ni jinsi gani hawa vijana wadogo wanavyokuwa damaged na mambo yanayotokea hasa kijana Deogratius Mahinyila alipotaja kuwa alikuwa mwanasheria wa Deusdedith...
Shangwe la WanaCHADEMA kutoka soko kuu Arusha wakifurahia ushindi wa Wakili Deogratius Mahinyila kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa.
Soma: Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la Vijana (BAVICHA) na Baraza la Wazee (BAZECHA) CHADEMA Taifa 2025
Wanachama hao katika wakisherehekea ushindi...
Januari 13 na 16, 2025, mabaraza ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya vijana (Bavicha), wazee (Bazecha) na wanawake (Bawacha) yanafanya uchaguzi wa kupata viongozi wake, huku makundi mawili kwenye Uchaguzi ngazi ya Uenyekiti kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu yakitarajiwa kuibua...
Sintofahamu imezuka katika uchaguzi wa viongozi wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), baada ya wajumbe kumtilia shaka mmoja wa wagombea aliyekuwa akitoa nauli.
Uchaguzi wa Bavicha unaendelea katika ukumbi wa Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Januari 13, 2025.
Pia, Soma...
https://www.youtube.com/live/alKQnvp2Ei8?si=6igthwmbdWuJGUXI
Fuatlilia Uchaguzi wa Vijana wa CHADEMA ngazi ya Taifa unaofanyika muda huu.
Kutoka Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam sehemu ambapo mkutano mkuu wa uchaguzi wa BAVICHA Taifa unaendelea hivi ndivyo hali inavyoonekana nje ya ukumbi...
BAVICHA wamelipuka kwa shangwe kubwa baada ya Tundu Lissu ambaye ni Mgombea wa Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakati akiingia kwenye ukumbi wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa BAVICHA leo, ambapo vijana wa CHADEMA kutoka sehemu mbalimbali wamekutana kuamua viongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.