ubadhirifu wa fedha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Raia Ghana walalamika baada ya Rais wao Nana Akufo-addo kuzindua sanamu yake ilinokshiwa na rangi ya shaba!

    Marais wa Afrika ni walewale, uchawa na ujinga kila sehemu😹🤣🤣 ==== Raia wa Ghana wametoa malalamiko yao baada ya Rais wa Nchini humo, Nana Akufo-Addo, kuzindua Sanamu yake iliyojengwa kwa kutumia Dhahabu katika Ukanda wa Magharibi mwa Nchi hiyo. Waziri Kwabena Okyere Darko-Mensah, amesema...
  2. ChoiceVariable

    Masasi: Waziri Bashe aagiza diwani wa CCM kutiwa mbaroni kwa tuhuma za kutafuna fedha za wakulima milioni 139

    Hongera Waziri Bashe.Hakuna kuchekeana Wala kuoneana huruma kwa mafisadi wote bila kujalisha hadhi Yao. My Take: Wakulima ungeni mkono juhudi za Waziri Bashe kupambana kuinua Kilimo. Kazi iendelee,ajenda 10/30. --------------- Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ametoa agizo la kushikiliwa kwa...
  3. Bushmamy

    Arusha: Avuliwa uongozi ndani ya chama kutokana a ubadhirifu wa fedha

    Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Ambureni Leo Tarehe 6/7/2024. Imemvua Uongozi katibu wa tawi la Ambureni Ndugu. Chales Tarimo, pamoja na nafasi zake zote za chama katika tawi la Ambureni. Hii ni kutokana na tuhuma zinazomkabili za matumizi mabaya ya ofisi. Aidha...
  4. enzo1988

    Kuvuma kwa watoto wa Marais Awamu ya Nne na ya Sita Taasisi ya Urais haioni kama inatia aibu?

    Siyo kwa lengo baya wala majungu, fitina, chuki , husuda n.k.! Kwenye utawala wa Kikwete jina la Ridhiwani lilivuma mno lakini likiegemea zaidi upande hasi! Yaani ilitengenezwa picha kwamba mtoto ni bonge la fisadi! Pia kwenye utawala wa Samia kuna jina la Abdul limeshika hatamu kwenye kila...
  5. BLACK MOVEMENT

    Rais Samia adhibiti Upigaji wa Pesa la sivyo hizo anazotafuta nje hazitakuwa na maana

    Kadri Raisi Samia anavyo fanya dhiara nje kutafuta pesa zinazo itwa za maendeleo ndio kadri wahuni wanavyo jipigia pesa za Umma. Kasi ya upigaji ni kubwa kuliko ya kutafuta pesa huko nje na inaonekana Raisi hajali kabisa hilo, yeye upigaji sio jambo linalo muumiza kichwa wala kumkosesha...
  6. C

    Jeshi la Polisi latoa ufafanuzi juu ya tuhuma za baadhi ya Trafiki kuhusika na uchepushaji wa fedha

    Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa zilizoandikwa na kusambazwa kupitia vyombo vya habari zikisema "Wachepusha mfumo wa malipo". Taarifa hiyo imeenda mbali zaidi ikidai na kutaka kuaminisha umma kuwa askari wa Usalama barabarani wameingilia mfumo wa malipo ya fedha za...
Back
Top Bottom