treni ya kisasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Matumizi ya magari ya serikali baada ya kuanza SGR

    Za leo wakuu, Natumaini SGR kati ya Dodoma na Dar kupitia Morogoro. Hivyo basi tunahitaji kupunguza ajali za magari na pia kupunguza matumizi kwa kuhakikisha viongozi na wafanyakazi wanatumia treni hiyo. Hili litafanya uboreshaji wa treni na kuhakikisha serikali inapunguza matumizi kupitia...
  2. ChoiceVariable

    Nawashangaa wenye mabasi kulalamikia Serikali kwa kukosa wateja kisa SGR wakati mikoani mabasi yanajaza hadi pomoni

    Ukisikiliza kelele na malalamiko ya Wafanyabiashara wa route za Dar-Moro-Dom-Singida Wanavyoilaani Sgr na kulaumu Serikali unapata picha jinsi watanzania hatuna ubunifu Wala aggressiveness kwenye biashara. Yaani route hiyo Moja tuu Kilio kana kwamba ni Nchi yote Ina Sgr,Sasa ikifika...
  3. M

    Samia Great Railway (SGR): Kichocheo Kipya cha Maendeleo Tanzania

    Chini ya uongozi wa maono wa Rais Samia Suluhu Hassan, Tanzania inaingia katika enzi mpya ya maendeleo na ustawi kwa kuzindua huduma za treni za Reli ya Standard Gauge (SGR). Mafanikio haya makubwa yanaonyesha dhamira thabiti ya serikali kuboresha miundombinu ya taifa, kuongeza uunganishaji, na...
  4. Lord denning

    Treni ya SGR, Tukiamua kufanya Vitu vya Kisasa tuvifanye kwenye ukisasa wake

    Umasikini sio sifa, umasikini sio jambo la kujivunia. Siku zote tunapaswa kuwaongoza wananchi wetu ili wauchukie umasikini na wapende kuwa na maendeleo. Nimesikitishwa sana na maneno aliyosema Dr Hamis Kigwangala kule twitter kupinga vigezo vilivyowekwa na kampuni yetu ya TRC kukataza watu...
  5. Lord denning

    Tungekuwa na Baraza la Mawaziri sharp na smart tungekuwa tunaipeleka SGR Uganda kwa focus ya kuifikisha Sudan Kusini na Afrika ya Kati

    Dunia hailali. Kila siku watu wanaumiza vichwa vyao wafanyaje kukamata fursa ili kuwa na maendeleo makubwa kiuchumi. Kenya anapambana akamate soko la mizigo la Uganda, Sudani Kusini , Ethiopia na baade Afrika ya Kati kupitia Sudani Kusini. (Kupitia mpango wao wa The Northen Corridor) Wiki hii...
  6. L

    Pre GE2025 Rais Samia aamsha shangwe baada ya kuwalipia tiketi abiria wote waliosafiri kwa treni ya kisasa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania Daktari Samia Suluhu Hasssan ameibua shangwe na kuteka hisia za watanzania wengi sana, baada ya Rais wetu mpendwa kwa moyo wake wa upendo, huruma, ukarimu na unyenyekevu. kuamua kwa dhati ya Moyo wake na kwa pesa...
Back
Top Bottom