The Toyota Wish is a compact MPV produced by Japanese automaker Toyota from 2003 to 2017. It is available as a six and seven-seater, equipped with either a 1.8- or 2.0-litre gasoline engine. It is positioned below the Ipsum and above the Spacio in the Toyota minivan range.
Apart from Japan, the Wish was also assembled in Thailand (for Malaysia and Singapore) and Taiwan. It was also sold in Hong Kong, where it was imported from Japan.
Zile taa mnaita beam kwangu usiku hazina mwanga kabisa. Yaani siwezi endesha gari usiku kwa sasa. Maana hazina Mwanga kabisa. Sielewi huyu mdogo wangu yeye alikuwa anatumiaje.
Amesafiri nami nimefika kwake nitakuwa hapa kwa 3 weeks so ni gari ambayo nitaitumia sana kabla sijarudi nchi za watu...
Nataka kununua Toyota wish namba D aya mwanzoni iwe nyeusi kwa 7M kama unayo naomba namba tufanye biashara hata ikiongezeka laki tatu ya dalali sio mbaya
Picha: Toyota Wish New Model
Nimeziona hizi gari natamani kufahamu ubora na mapungufu yake. Ninahitaji gari ndogo kwa mizunguko ya town na safari za Dar Morogoro.
So iwe inatumia mafuta vizuri na pia comfortable kiasi flani. Nina gari kubwa ambayo safari za kila weekend na foleni ya kuanzia...
Ndugu wana JamiiForums, hivi kwani maisha mazuri kaumbiwa Kiduku Lilo tu? Hata mimi napenda niendeshe gari kali ya Mjerumani VW Polo, yaani. Amaizing (hili neno hata sijui tafsiri yake).
Haya sasa mpango uko kama hivi, nauza mgoma wangu huu Toyota Wish, ukiuchukua naongeza hela kuduchu tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.