Ndugu zangu Watanzania,
Mimi kila siku huwa naangalia na kusoma vitu anavyopost na kuandika mitandaoni Tajiri Nambari Moja Duniani Elon Musk kupitia mtandao wake wa Twitter maarufu X.
Ambapo amekuwa akipost na kuandika vitu vya kawaida na vyepesi sana ambavyo huwezi kujifunza kitu chochote...
Elon Musk tajiri namba moja dunia hakuna alichokosa dunia hii lakini amempambania Trump kwa nguvu moja na Trump amemteua kwenye position fulani baada ya kushinda.
Sasa tajiri namba moja dunia anakubali teuzi na anapambana siasa na hakatai teuzi.
Wewe hujui hata kesho utakula nini ila unasema...
Kutokana na tajiri namba moja duniani kuwa kwenye timu ya kampeni, na hatimaye kushinda; Je kuna dalili yoyote ya yeye kupewa wizara? Na kama atapewa, itakuwa ni wizara gani?
Ingawa wapo wanao hisi kwamba, kutokana na yeye kushiriki kwenye siasa inawezekana anapalilia njia ya kuwania nafasi ya...
Nimefanya utafiti usio rasmi Kwa kuangalia Matajiri wa Tanzania na Umri wao, na
nimegundua Matajiri wengi Umri wao ni kuanzia miaka 43-90.
Kwa Umri wa Diamond wa Miaka 34, inamfanya yeye kuwa Tajiri namba moja Tanzania Kwa watu wa Umri wake Kwa hapa Tanzania, hapa tungeweza kuweka watoto wa...
Tajiri namba moja duniani Elon Musk hajaishia hapo kwenye kumiliki utajiri wa $269.8 billion amethibitisha kuwa anataka kuongeza zaidi na kuweka rekodi ya kuwa binadamu wa kwanza ambaye ni TRILIONEA duniani. Elon Musk mwenye umri wa miaka 53, amethibitisha kuwa mpango wake ni kutumia fedha hizo...
Tajiri namba moja Duniani bwana Elon Musk anatabiriwa kua Trilionea wa kwanza Duniani mwaka 2027 kama utajiri wake utaendelea kukua kwa mwenendo unaokua kwa sasa.
Elon Musk utajiri wake unaongezeka kwa 110% kwa mwaka hivyo kama utakua hivyo ndani ya miaka 3 ijayo Elon atafikia hadhi ya kua...
Watu wa ulimwengu wa giza njooni hapa mtoe maoni yenu.
Ukuaji wa diamond kutoka zero hadi hapo alipo umekuwa wa kasi isiyotegemewa. Amezungumza akiwa anajiamini sana kuwa atakuwa tajiri namba moja duniani, hawezi kuwa na uhakika kiasi hiki bila kuwa na maagano ya siri.
Huu ni ukweli tu ulio wazi.
Dunia itabaki kutawaliwa na wasomi mpaka Yesu anarudi.
Huwezi kuwa Tajiri namba moja duniani bila kusoma shule.
Pia soma: Hili la Diamond kujihakikishia kuwa atakuwa tajiri namba moja duniani linaashiria nini katika ulimwengu wa giza?
Katika dunia ya sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.