Tabora is the capital of Tanzania's Tabora Region and is classified as a municipality by the Tanzanian government. It is also the administrative seat of Tabora Urban District. According to the 2012 census, the district had a population of 226,999.
Ligi kuu soka Tanzania bara inaendelea leo Aprili 02, 2025. Nyuki wa Tabora, Tabora united wanawaalika Yanga SC. Novemba 07, 2024 Yanga walikalia kuti kavu baada kuambulia kipigo cha bao 3 - 1
Mechi: Tabora United Vs Yanga SC
Ligi: NBC Premier League
Uwanja: Ali Hassan Mwinyi Tabora
Tarehe...
Karibu katika mikiki ya NBC PL ambapo leo majira ya saa 10kamili jioni pale katika dimba la kumbukumbu ya Rais wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ally Hassain Mwinyi,wenyeji Tabora United watawakaribisha vigogo na vinara wa ligi Yanga kuzisaka alama tatu muhimu.
Ikumbukwe...
Nawashauri, kinachofanyika leo ni kufurahisha majini yao ili keshi yakafanye kazi uwanjani, leo watachinja ng'ombe ili wakawape damu majini yao ambayo yanafurahi sana yakipewa damu, msipokabiliana na kafara hili wallahi kesho mnakufa si chini ya goli tatu.
Mnapocheza na Yanga msicheze mpira...
Nimemsikiliza pasipo shaka Mkuu wa Mkoa wa Tabora kuhusu wachezaji wa Tabora kutumiwa sms za kuombwa wazubae kesho ili timu yetu ya Jangwani ipate matokeo, ni kweli anachosema RC kuwa makosa ya rushwa kumtia hatia mtu ni vigumu sana wakati mwingine kwa sababu anayetoa rushwa anafanya vile kwa...
Mitandaoni na kwenye media mechi kubwa ni Tabora United vs Young Africans ambayo itafanyika tarehe 2 April uwanja wa Ali Hasan Mwinyi TABORA, mechi ya UMISETA au shirikisho Watanzania hawana habari nayo
Haya mashindano ya shirikisho ni sawa na mashindano ya shule yaani UMISETA au Yale ya golf...
Kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Tabora United na Yanga SC, unaotarajiwa kuchezwa Aprili 2, 2025, katika dimba la Ally Hassan Mwinyi, mkoani Tabora, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha, ametembelea kambi ya Tabora United na kutoa motisha kwa wachezaji wake.
RC Chacha...
Mechi ya Tabora United vs Young Africans iliyokuwa ichezwe tarehe 1 April 2025, Sasa itachezwa tarehe 2 April
Bodi ya ligi wamewapa taarifa timu zote kutokana na kanuni kuwaruhusu kuhairishwa mechi kabla ya saa 24 kama itavowapendeza
Kila la heri timu ya wananchi
Yanga bingwa
Hizi ni hujuma na rushwa za waziwazi wameona mechi dhidi ya Yanga imekaribia ndo wameamua kuufungia Uwanja, cha Ajabu Mzunguko wa kwanza wote Tabora wamecheza pale mechi zao zote na huu mzunguko wa pili na Leo hii umetumika
Tff wanajiaibisha sana Anguko la Karia litakua la aibu sana (GSM)...
Wale wanaopiga kelele juu ya yanga na singida pia kelele zao wazielekeze kwenye mechi ya Namungo na Simba! Pale yupo kocha juma mgunda ambae sikumbuki ni lini aliwai kumfunga Simba akiwa anafundisha timu yoyote Ile, ata sare huwa hapati!
Namungo wenyewe ni tawi mojawapo la kolo likifadhiliwa na...
Huyu ni dada yetu, ni mpenda soka mwenzetu, na anaifanya soka ipendwe zaidi na wanawake/wasichana.
Naomba wanaume wenzangu kwa vyovyote vile mtanieni utani wote lakini nawashauri msimtanie utani usio faa, usio katika maadili ya taifa letu na hususan msimtanie mambo yanayokwaza kwa jinsia yake...
Sioni Tabora hii iliyofunga Vichaa Azam na Yanga mbovu akipata ushindi dhidi ya Simba hii ya Moto.
1.Simba amepata mechi nyingi za ushindani kimataifa wakati Tabora akiwa hana
2.Ubora wa kikosi cha simba dhidi ya Tabora.
Mods shikiria hapo hapo.
SIKU YA MECHI KALI.
MCHEZO: Ligi Kuu Tz Bara NBC Premier League
Mwenyeji : Tabora United
Mgeni : Simba Sc
Uwanja : Ali Hassan Mwinyi, Tabora
Muda : Saa 10 Jioni.
VIKOSI VYA LEO
Game On
3' Tabora 0-0 Simba
6' Simba wanapata kona, inapigwa kona na Kibu, haileti madhara yoyote kwa nyuki
12'...
Mtangazaji Oscar Oscar wa kipindi cha Jana na Leo, jioni hii akiwa katika kipindi hiko amesema Tabora Utd itabeba alama zote 3 dhidi ya Simba pale katika dimba la Ali Hassan Mwinyi.
Soma Pia RC Chacha aahidi milioni 50 kwa Tabora United ikiilaza Simba SC
Yapi maoni yako?
Imeripotiwa kuwa Tabora United imekosa kiasi cha million 20 ili kulipia vibali vya wachezaji wa kigeni.
Lakini tukumbuke Mkuu wa mkoa wa Tabora ametoa ahadi ya million 50 timu hiyo ikiifunga Simba.
Hiyo ahadi ya Mkuu wa mkoa wa Tabora ni zuga tu, kama ana million 50 kwanini asiwape Wakamilishe...
Mtangazaji wa ITV Hosea Mchopa amemnasa Christina Mwagala Afisa Habari wa Tabora United ambaye ametamba kufanya usajili wa kutikisa kwa kutumia Shilingi milioni 500 kusajili wachezaji takriban wanne wakiwemo Wacameroon wawili Cedrick Zemba na Kipa Jean Noel Amonome.
Mwagala amesema lengo lao ni...
Huyu Manara anatufunga kamba 😂
Eti anasema anaamini asipovaa jezi wanafungwa na ile mechi ya Tabora hakuvaa wakala Tatu na ndio kisa cha kuhama pale Azam Complex
Pia, Soma: Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara imefanya marekebisho kwenye ratiba ya michezo miwili ya Simba SC kutokana na sababu mbalimbali za kiufundi.
Mchezo wa Simba SC dhidi ya Singida Big Stars, ambao awali haukuwa na tarehe maalum, sasa umepangwa kuchezwa tarehe 28 Desemba 2024 kwenye Uwanja wa Liti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.