tablet

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mwilawi

    Je tablet za atoch zina ubora?

    Wakuu salamu za usiku. Naombe munijuze kuhusu tablet za atoch ambazo naona zimeenea sana. Hasa spidi katika matumizi na uimara pia. Asante
  2. steve_shemej

    Phone4Sale Nauza simu za aina mbalimbali

    VIVO Y71 RAM 6 STORAGE 128 Moja tsh 100000 Jumla kuanzia tatu 92000 tu Pia unaweza kuagiza china kwa bei za viwandani Tupo kariakoo karibu dukani pia mkoani unatumiwa Call/whatsap +255713861567
  3. I

    TABLET TABLET CONVERTABLE TO PC

    Njoo na 370k ni ina 512GB ram 8GB Piga simu 0685237039 wahi zipo chache
  4. Black Legend

    Msaada,Simbanking haifunguki kwenye TABLET aka KUSHIKWAMBI.

    Naomba kusaidia, app ya CRDB Simbanking hakioneshi kitu nilipoi update hii toleo jipya. Kila Niki install ,nikifungua inaonesha blank.
  5. emmarki

    Natatuaje tatizo la Tablet za Pritom kupoteza network?

    wadau nina zaidi ya vishikwambi 3 maarufu vya sensa (pritom tablet) zina shida ya kuandika emergency na kupoteza network kabisa. Mtaalamu anijuze namna ya kutatu hilo tatizo tafadhali.
  6. KingsStore

    Phone4Sale Tumeshusha mzigo wa Simu za Mezani na Simu nyingine zote pamoja na tablet

    Habari wakuu, Tumeshusha mzigo mpya wa simu simu zote mpya pamoja na used. Simu za mezani, unaweka laini yoyote inakaa na chaji si chini ya siku nne kwa matumizi ya nyumbani na ofisini. Tumeshusha tablet zenye keyboard na zisizo na keyboard kwajili ya watoto,watu wazima na ofisi. Bei za simu...
  7. Jokia

    Msaada Tafadhari: Tablet imezima ghafla, niiwashe vipi?

    Habari zenu wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyosema, tablet yangu imezima ghafla tu haiwaki tena. Ni mpya kabisa imetumika kama wiki 2 tu. Ilizima yenyewe ikiwa katika matumizi ya kawaida na ilikua na chaji ya kutosha. Nimejaribu kuiwasha mara kadhaa lakini imeshindikana kabisa kuwaka. Je...
  8. N

    INAUZWA Tablet nzuri ya Samsung inauzwa bei chee

    Habari Nauza Tablet nzuri aina ya Samsung kwa beinya kutupa, bei ni Tshs 480,000 ila maongezi kdg yapo Tablet hii imetumika miezi mitatu tu hivyo bado ni mpya kabisa na aina mchubuko wa aina yeyote, ukiiona ndio utaamini. Model Name: Galaxy Tab A8 Battery Capacity : 7040 mAh (Typical) OS...
  9. T

    Wapi napata latest generation tablet na desktop/laptop computer ?

    Hello wapi hapa mjini (maduka gani ?) Dar napata latest generation tablet na desktop/laptop computer kwa bei nzuri - reasonable price?
  10. R

    Kwenu BAKITA, KISHIKWAMBI ikimaanisha Tablet imetoka wapi? IE The science of the origin of a word kishikwambi

    Sensa ina mambo mazuri. Nimeona KISHIKWAMBI likimaanisha Tablet. Sasa hili neno mmelitoa wapi? Etymology ya Kishikwambi ni ipi? Au unaamka unafikiri kineno chochote basi unaita Tablet Mfano, Tablet: Etymology. From Middle English tablet, from Old French tablete (Modern French tablette)...
  11. mwilawi

    MSAADA WA TABLET

    Naomba mwenye android tablet ambayo angalau ina sifa hizi aniuzie; 1. storage angalau 16 gb 2.ram angalau 3 au2 gb 3. processor atleast 2GHz 4. mtandao hata iwe na wifi tu 5. isiwe ya tecno 6.iwe used ila nzima 7. iwe ya inchi 7 au 8 Pia anomba ushauri zaaidi. Niko dom
  12. hp4510

    Naomba maujanja ya kureset 6S Tablet

    Wakuu mambo vipi Nina Samsung S6 tablet, sasa nilisahau password so nikaamua kureset Sasa shida inayokuja after everything inanitaka niingize e mail na password ambayo hiyo password nimesahau Nikiweka namba ya simu ambayo nilitumia kufungulia hiyo E mail ili nitumiwe link, hakuna link yoyote...
  13. Travis 1

    Msaada wapi naweza pata tablet nzuri kwa Dar es Salaam

    Wapi naweza kupata tablet nzuri kwa Budget ya laki nne?
  14. K

    INAUZWA Tablet mpya

    Galaxy Tab A mpya haijatumika inauzwa 32GB storage, 2GB RAM na 8MP rear na 5MP selfie. Bei ni 450k Mpya kabisa Location : Ilala, Dar es salaam Mawasiliano: 0759007696(WhatsApp) 0712625416(normal) Karibu jipatie
  15. Elon Mzebuluni

    INAUZWA TABLET inauzwa

    Jipatie tablet ya vodafone vfd 1100 iko katika hali nzuri mno,haina shida yeyote ni nzima kabisa kama unavyoiona kwenye picha, inakwenda kwa bei ya 100,000 mazungumzo yapo. Napatikana Mbeya nicheki kwa 0767142928 karibu tufanye biashara.
Back
Top Bottom