Serikali mpya ya Syria imeamua kuwatumia PIJ kikundi cha Kigaidi kilichokuwa kinafanya Shughuli zake nchini humo sasa, waende Iraq na Iran na huko walete laana
https://x.com/xumas_iq/status/1914553355235471450
Chanzo chake ni hivi
Wakati mapinduzi ya Syria yaanaza, Hamas na Wapalestina wengi...
1. Wa-Syria wana maonyesho kila kukicha. Sijui wanazalisha hizo bidhaa saa ngapi wakati Syria kinawaka kila siku.
2. Wabongo tunasubiri Teuzi tu na Mechi za Simba na Yanga
Amani Tele ila hatuzalishi hata pipi
Sio kificho kusema Hamas na Hizbullah wameumizwa sana kijeshi japo kuna tofauti kati yao.Na vile vile ni wazi kuwa Israel imepagawa ikijiona kama imeshinda.
Kupagawa kwa Israel kunaonekana kwamba wamejiamini kuendelea kushambulia maeneo ya Syria kwa visingizio na bila kizuizi.Karibuni kabisa...
Netanyahu kama alivyo mwenzake Donald Trump akili zao si za kawaida.Wanajiamini kuwachokoza na kutaka kupigana na kila mtu duniani kwa kujiamini kwa hali ya juu.
Hiyo ni kwa vile Israel kwa sasa imeridhika kuwa waarabu wote ni kama maboya tu.Sasa hivi wamejiamini kuichokonoa Uturuki ambapo hapo...
Peace,
Niko na swali dogo ila tata kwa kiasi fulani, hivi inakuwaje watu walio na "umoja na mshikamano katika dini ya Mwenyezi Mungu" wako tayari hata kujilipua mabomu kwa ajili ya dini yao.
Wako tayari hata kuchinja watu huku wakiwarecord ili kutetea "imani" yao "tukufu" ila linapokuja swala...
Leo tena maroketi kadhaa yameruswa uwelekeo wa kaskazini ya Israel na kumfanya waziri wa ulinzi wa Israel atoe onyo na vitisho kwa serikali ya Lebanon.
Kuonesha ya kuwa maroketi hayo baadhi yametua na kupiga yalipokusudiwa,waziri huyo amesema madhara yanayoipata Kiryat Shmona basi yataipata na...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa za hivi punde za motomoto zinasema IDF wamefanya shambulizi kali la anga huko Syria
Mlengwa hajajulikana bado ila naahidi kuwa nitawajuza nani kaliwa kichwa
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Mungu ibariki nyumba ya Yakobo
The Syrian National News Agency...
Waziri mkuu wa israel, netanyahu,ameitisha kikao cha kujadili upanuzi wa ushawishi wa uturuki ndani ya syria mpya baada ya Assad
Watawala wapya wa Syria waligeukia msaada wa kiusalama kea uturuki kwa kuitaka ijenge kambo za jeshi na kuziimarisha nchini huku pakiwa na kambo ya kijeshi ya Uturuki...
Baada ya kuwepo kwa taarifa ya mashambuliano ya siku mbili mpakani mwa Syria na Lebanon kati ya wafuasi wa HizbuLlah na wapiganaji wa serikali mpya ya Syria,sasa tukio hilo limefuatiwa na mapatano katika ya pande hizo mbili.
Kiasili wapiganaji ya HizbuLlah ni wafuasi wa mrengo wa kishia wakati...
Waziri Mkuu wa Iraq Mohammed Shia Al Sudani alitangaza siku ya Ijumaa kwamba Abdullah Miki Musleh al Rifai ambaye pia hujulikana kama Abu Khadija kiongozi wa kundi la kigaidi cha Isis cha Iraq na Syria ameuwawa.
Gaidi huyo ameuawa kwenye opereseheni iliyofanywa na vikosi vya ulinzi vya Iraq kwa...
Huko Syria mauaji ya kutisha sana yanaendeshwa na askari wa utawala mpya kwa Wakristo na Alawite wanaotuhumiwa kuwa walikuwa wafuasi wa rais Assad aliyepinduliwa. Wakati mauaji haya ya kutisha yakiendelea huko Syria ulimwengu umeshikwa na kigugumizi na hatimaye kupotosha waziwazi Kuhusu mauaji...
Huko Siria kumekuwa pagumu mno
Sasa ni kuuana tu wenyewe kwa wenyewe
Al Julan ameomba meza wayajenge na wafuasi wa Assad, maana wamekuja na nguvu mpya na kutoa changamoto ya uhakika. Wanajeshi wa kisuni wanaomtii Julan wanawasonga raia wa kishia kisha wanawaua. Baada serikali ya Siria kuanguka...
The obvious groups will be Druze state, Kurdi state and what will remain as Syria, may be. The threat for the Shia military group is high and very obvious to also form their own part. The winner of all this is Israel, he will grab more land under the claim of "buffer zone".
I do think of...
Wakuu,
Katika mji wa kale wa Hierapolis nchini Syria, picha ya ajabu ya uso wa Yesu Kristo imefunuliwa, inayojulikana kama "Keramion."
Kipande hiki cha kipekee cha sanaa kinatokea katika enzi za mwanzo za Ukristo na inakadiriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 1,500.
Hadithi zinaeleza kuwa...
Baada ya utawala wa Assad kuangushwa Syria, yahofiwa movement inayofuata ni ya kuondosha utawala wa Misri wa Sisi.
Movement hiyo ni January 25 Revolutionaries Movement.
Je, hawa wapiganaji watafanikiwa ?
https://x.com/BroderickM_/status/1878204005450690640?t=mV3t7TJCfbPpIy2Ta18SXw&s=19...
Ni mwanzo mzuri japo mimi kwa kweli sijawahi kuwa na imani na kobaz yeyote, hata akiwa jirani yangu, kuna majini huwa wameingizwa kwenye system zao na hutibuka mara moja ghafla bila kutarajiwa. Huyu kiongozi mpya ambaye ni ni mvaa makobaz, anaonekana kuwa na muelekeo mwema, ila siku akianza...
Wadau hamjamboni nyote?
Msako magaidi duniani kote unaendelea
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
December 31, 2024
France says it carried out missile strikes against Islamic State in Syria
By Reuters
Today, 12:19 pm
France carried out missile strikes in Syria, targeting Islamic State...
What a surprise!?!?
Al-Jawlani, Head of HTS That Overthrew Syria President, is Jewish . . .
Hal Turner World December 29, 2024
What a surprise!?!?! The Head of HTS, a.k.a. "ISIS," a.k.a. "Al Qaeda," which overthrew Syrian President Bashar Assad, is Jewish, and graduated from the Islamic...
Maandamano yameibuka nchini Syria kufuatia kuchomwa kwa mti wa Krismasi karibu na jiji la Hama.
Video iliyochapishwa kwenye mitandao ya kijamii ilionyesha wapiganaji waliovaa barakoa wakichoma mti ulioonyeshwa kwenye uwanja mkuu wa Suqaylabiyah, mji unaoongozwa na Wakristo katikati ya Syria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.