Pamoja na umachinga wangu, bado nikasema nisaidie nchi yangu kwa kulipa kodi, nimechukua tin namba nikakata leseni nikafungua kiosk, nikakadiriwa nilipe laki nne kwa mwaka, kila miezi mitatu 100,000/=.
Nimelipa vizuri mara tatu, mara ya nne nimechelewa kwasababu zilizo nje ya uwezo wangu...
Kama kichwa cha habari kinavyosema mm ni mtumishi katika halmashauri ya mji wa Tarime, toka nimeajiriwa miaka mitatu iliyopita na sijawahi kulipwa hela yangu ya kujikimu na kila ninavyofuatilia imekuwa ni danadana.
Wenye mamlaka tusaidieni tuweze kulipwa hela ya kujikimu kwa maana ni haki yetu.
Ukiwa Arusha mjini, mitaa ya Unga Limited, sasahivi yamebakia kuwa magodown, ila wazazi wetu wanatuambia miaka ya 70 na 80 kulikuwa na utitiri wa viwanda vingi sana. Na hiyo ni Arusha; ukienda na mikoa mingine kama Dar es salaam, Mwanza, Mbeya, Tanga na Morogoro, utakutana na similar story. Kwa...
Wakuu inafikirisha kidogo!
Naomba nitoe rai kwa mamlaka kuandaa mafunzo ya kutengeneza juisi bora kwa wajasiriamali wadogo wadogo mana mtaani huku wanautuua haki ya mungu.
Leo katika pitapita zangu tandika nikaona juisi ya miwa nikajikoki ya jero. Dah! 🤔🤔 wakuu sijawhi kukutana na kitu kitamu...
Ukiachana na nyimbo ya "chibonge" "dar kugumu" na "mi amor" hakuna nyimbo ya huyu jamaa niliwahi kupenda wala kuelewa
Anaimba takataka tupu!
na wanaopenda nyimbo Zake tofauti na nilizo orodhesha mimi nao naona Hawana akili tu(kidding)😄
Povu ruksa ila hakikisha una uhakika wa kula January nzima
Wakuu,
Makonda asema Tangu alipopata uenezi, mshahara wote ameweka mahabahuni kwa Mungu, na hata alipoteuliwa kuwa mkuu wa mkoa Arusha hajawahi kula hata sh kumi, mshahara wote unaenda madhabahuni!
Makonda ameyasema hayo leo wakati akiongea na wananchi katika matembezi ya kuliombea taifa leo...
Akiwa katika kipindi cha Jirani kupitia Crown FM, mwanamuziki Abby Chams anasema hajawahi kula miguu ya kuku wala firigisi hazijui.
Mwijaku akamuuliza unapajua Mburahati? Akamjibu hajawahi kupasikia ndio mara yake ya kwanza kupasikia.
NB
Huyu msanii Abby Chams kipindi cha nyuma aliwahi kusema...
Ndugu wanabodi.
Kuna utitiri wa uuzaji wa viwanja vidogo sana kwa bei inayoanzia laki nane mpaka milions kadhaa.
Nikipiga hesabu futi 50 kwa 40 hapo utajenga nini. Au tunaenda kutengeneza vingunguti nyingine.
Ushauri wangu kama huna hela ambayo unaweza kupata robo au nusu heka.hapa mjini kwa...
October 17 had 27 Mwezi uliopita kuna kipindi nilipitia kipindi kigumu sana.
Kwanza kabisa nilianza kwa kukohoa, nilichukulia kawaida lakini siku ya pili nakohoa sana, asubuhi nilienda kununua good morning haikusaidia chochote
Jioni nimefika nyumbani mara ghafla tu mwili hauna nguvu, vungo...
Hapa bongo kuna kila aina ya vituko moja ya kituko kinacho niacha hoi ni huu utaratibu wa viongozi wa kitaifa eti kuifanya wanahamasisha michezo wakati ukweli ni kwamba wanajijenga zaidi kisiasa kuliko kuinua hiyo michezo yenyewe.
Badala ya kukaa na kuumiza kichwa ni vipi tunakuza vipaji ni...
Unakumbuka sakata la mrembo Jacqueline Obeid a.k.a Poshy Queen na Hamisi Kigwangala?
Sasa Mwanasiasa Hamisi Kigwangala amezungumzia tuhuma zilizomwandama kuhusu mrembo Poshy Queen na pisi kali alizowahi kudaiwa kuzipandisha ndege na kwenda kujivinjari nazo mbugani kipindi ni Waziri wa Maliasili...
Kiuhalisia kabisa hakuna kitu kinachothibitisha UGUMU WA MAISHA!
Hili ni jambo la kufikirika tu ambalo viumbe na wanadam waliamua kuyabatiza maisha!
Binadamu kaumbwa na akapewa mazingira ayatawale! Sasa unaposema MAISHA Ni MAGUMU mimi huwa simuelewi Magumu kwa kuyalinganisha na yepi?
Binadamu...
Kuna wakati naona sijawahi kukutana au kusikiliza kazi za msanii smart kama TID. Huyu jamaa kama utakurupuka hutaelewa..he is the smartest artist on earth
Jamaa ni kama alitumwa na uto kuwavunja wachezaji wa Simba.
Refa nae akawa fair sana yule alitakiwa red card kwa uchezaji wake wa kikatili.
Alichosahau yuko Libya kikazi ila huku Tanzania watutsi wenzake wamejazana , dada zake tunawamwagisha maji kwa kale kamchezo ketu huku Ngara.
Si ajabu ana...
Utekaji ni janga kubwa linaloikumba taifa kwa sasa. Ajabu viongozi hawa waandamizi wazunguka na kuhutubia bila kugusia hata kidogo. Je huu ni dalili kuwa hawaguswi na mateso wanayopitia ndugu na jamaa za waliotekwa?
Kabla ya wimbi hili kuibuka, Bashite alitoweka kipindi kirefu bila kujulikana...
Wakuu Mimi nilikua ni mpenzi sana wa dini ya kisabato ,niliipenda dini hii kuanzia itikadi za Muonekano(nywele,mavazi),pili nyimbo zao zinavutia sana,ilifika kipindi kidoogo niwe msabato rasmi.
Lakini tangu nianzie kufuatilia mahubiri Yao muda wote wanahubili Mambo ya siku ya sabato ni...
Wakuu jana niliota nimekufa hadi msiba wangu ulitokea na nilikuja kukufuka na wakabomoa jeneza kunitoa kabla ya sijazikwa
Kuna maana yoyote hapa au ni muvi tu za usiku?
Mshana Jr Da'Vinci
Shalom,
Fuatilia kichwa cha habari ndivyo ilivyo uzoefu wangu ana wanaume wanyanduaji wengi wao hawanaga vitambi. Na wengi wao afya mgogoro.
Karibu kwa mjadala na uthibitisho
Ni hayo tu
Wadiz
Leo hii
Nimepata wasaa wa kupata chai asubuhi kwenye kijiwe chetu mtaani,
Jaji kaongea Kwa uchungu anasema ni kweli sisi majaji maslahi yetu ni kama tuko peponj na hatuna shida hata moja,
Akaendelea kusema ile kufungua nchi uliingia pia uchafu wa kutosha,
Akasema hivi unakumbuka ziara za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.