👉🏾Katika ulimwengu wa siasa, ambapo nguvu za madaraka mara nyingi hujificha nyuma ya pazia la kusadikika na wanaharakati wanajitokeza kama nyota za mwangaza katika giza la mang’amung’amu. Wakiwa na dhamira isiyoyumbishwa, wanapambana na vikwazo vya kisiasa, kiuchumi, na kijamii, wakijitolea kwa...
Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na maswali ya waandishi wa habari aliyoyajibu leo ni masterclass ya siasa za upinzani katika nchi yetu. Kuongoza upinzani sio oya oya kama wengi wanavyodhani, kunahitaji utulivu akili, uvumilivu, maturity na busara kubwa sana.
Baada ya...
Mbowe ili uendelee kuwa Greatest of all time , usigombee Cheo chochote hapo Chadema.
Taifa litakukumbuka Kwa Mambo mengi.
Linda heshima yako usikubali kudanganyika .
Umri wako
Heshima yako
Financial status
Haya mambo yote yapo vizuri Sana kwako jaribu kuruhusu akili Mpya kuiongoza Chadema...
Hawaaminiki tena, hawaeleweki kabisa kwa wananchi, wamekosa na kupoteza uelekeo, ushawishi wa kisera na mipango mikakati kuelekea uchaguzi wa serikali za mtaa. Kanuni, sheria na katiba viko wazi kabisa kuhusu uchaguzi huu, lakini wanalilia hisani na kutegemea huruma za wananchi.
Walianza kusita...
Kinachoendelea baina ya upinzani wao kwa wao, humu nchini ni cha kusikitisha na kinakatisha Tamaa san wananchi wa Tanzania kwa kiasi kikubwa mno. Kitaalamu ni hujuma miongoni mwao. Ni aibu sana..
Sawa, hawana nia, mipango, uelekeo, wala uewezo wa kushika dollar na kuunda Serikali, basi walau...
Mwenye macho haambiwi tazama kwa mfumo wa uongozi wa taifa letu ambapo rais anakuwa na nguvu nyingi kiwango kinachomfanya hata asie mkubali kujipendekeza kwake ni ngumu sana kwa wapinzani kuambulia chochote sanasana watakacho ambulia ni kile ambacho watawala wametaka.
Tunadanganywa kwamba eti...
Huenda ulikuwa unawakubali mno awali, lakini kutokana na mambo mbalimbali kufanyika na kubadilika bila utararibu na kufanya upinzani kupoteza dira na uelekeo, imefikia mahali umekosa imani na matumaini nao kabisa.
Nini hasa kilisababisha ukafikia hatua hiyo ya kutowaamini na kuwakatia tamaa...
(1) Freeman Mbowe
Yule wa mwaka 2005-2015, alikuwa mpinzani kweli kweli, chuma hasa hasa! Alikuwa mhimili sio tu kwa chadema Bali kwa vyama vyote vya upinzani.
Kwa sasa amekata pumzi anapigania mkate na huruma ya watawala!
(2) Maalim Seif
Huyu hatuna mfano wake amekufa akiwa shujaa...
Wananzengo, siasa za upinzani nchini huwa zinaendeshwa na matukio zaidi, lakini kwa sasa hali ni mbaya zaidi. Ni kama vile upinzani wote uko mikononi mwa Tundu Lissu.
Mh. Lissu amechukua likizo kidogo basi kila kitu kimepoa, operations za CDM kimyaa, na hata mikutano ya hadhara na ile ya ndani...
Sasa, ni rasimi na niko tayari kutumikia siasa za upinzani kwa nguvu zangu zote na kwa mali zangu zote, huku nikiwaelimisha watanzania jinsi wanavyouzwa na kurudishwa utumwani kwa tamaa za viongozi walafi na wasiotosheka na kile walichonacho kutoka CCM.
Chama kinachoitwa ccm ali maarufu kama...
Kwa hali inavyoendelea nchini ni dhahiri hakuna tena upinzani. Bali kuna uungwaji mkono juhudi unaofanywa na wapinzani kwa CCM ila kila mmoja kwa staili yake. ACT Wazalendo wanakula pamoja na CCM kule Zanzibar na CHADEMA nao wanatafuta robo mkate wao huku Tanganyika.
Kabla CHadema hawajaanza...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema yeye na Mwenyekiti wake Mbowe wako vizuri kuliko wakati mwingine wowote.
Lissu amesema hata alipokutana na Rais Samia kule Ubelgiji alimweleza wazi kuwa atarudije nyumbani ilhali Mwenyekiti wake yuko magereza, ndipo Rais akalifanyia kazi.
Lissu...
Ningependa kuwa karibisha wafuasi wote wa siasa za upinzani hapa nchini katika hili swali langu fupi kwa majibu yao.
SWALI:
Tatizo sugu la wapinzani wa hapa nchini je ni Magufuli na utawala wake wa awamu iliyo pita [ awamu ya tano ] au tatizo ni CCM yote ?
KARIBUNI
Ndugu yangu John Mnyika, umekitumikia CHADEMA toka ukiwa Mwanachama wa kawaida, Mbunge hadi kuwa Katibu Mkuu wa Chama. Hakuna anayeweza kupinga kuwa muda wako mwingi umetumia kutetea Chama chako kwa nguvu zako zote na kwa uadilifu mkubwa kwenye chama chako.
John Mnyika, kwa namna ulivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.