Nimesoma bandiko kuhusu china kufungua mtambo wa matumizi ya Thorium kutengeneza clean energy na kupunguza matumizi ya Uranium ambayo inatoa hewa chafu.
Ikumbukwe nchi ya machawa na wanafiki haiwezi kuwaza maendeleo ya sayansi bali huwaza kuchafuana kisiasa na kusahau mambo muhimu katika kuleta...
SIASA CHAFU DHIDI YA MWIGULU NI UOGA WA 2030.
Katika kila zama za siasa, kuna wanasiasa wachache wenye dira, msimamo, na rekodi safi ambao wanapopata umaarufu na kuwa tishio kwa wapinzani wao, huanza kushambuliwa kwa propaganda chafu, uvumi na hila ili kuwaharibia taswira yao kwa umma. Leo hii...
Amani iwe nanyi Wanabodi.
Kila siku huwa nasema, mchawi katika maendeleo ya kweli kwa mwafrika ni akili. Sio rasilimali wala nguvukazi.
Kati ya vitu ambavyo siku nikifika mbinguni nitakuja kumuuliza Mungu nikipata nafasi ni swali " Aliweka nini kwenye akili ya Mwafrika ikiwemo sisi Watanzania...
Wakuu,
"CCM imetufika pabaya leo watumishi wa umma wanashindana kujikweza ndio maana badala ya kuzalisha taifa la watalaam leo tuna taifa la 'chawa' na sasa hivi wamepita uchawa wamekuwa mende maana angalau chama akikaa kichwani ukinyoa nywele hadithi imekwisha, mende wanaingia kwenye vyoo...
Baada ya wapinzani, kundi jingine linaloonekana kuteswa na kutaabishwa na ccm, ni hili la waandishi wa habari.
1. Daudi Mwangosi aliuawa na polisi alipokuwa akiripoti maandamano ya chadema.
2. Azory Gwanda alipotezwa na hajulikani alipo sababu ikisemekana ni kuandika habari za uchunguzi kuhusu...
Bangladesh iko kwenye kipindi cha kihistoria baada ya waziri mkuu wake wa miaka 15 kukimbia nchi katikati ya hasira za Umma.
Wiki kadhaa za maandamano dhidi ya Serikali zimesababisha waziri mkuu Sheikh Hasina kujiuzulu, kukimbia nchi, na serikali ya muda inatarajiwa kuundwa.
Baada ya Bi Sheikh...
Kuelekea uchaguzi Mkuu Mama ameubutua sana hadi umechana nyavu.
Waliosema siasa ni sayansi hawakukosea. Leo Wale walioitwa sukuma gang ni shangwe tele. Wamefurahi balaa. Furaha in Vain (bure tupu)
Wamesahau hiki ni kipindi cha uchaguzi wanapewa temporary pleasure ili mwanaharamu apite...
Ni kweli kafanya kazi kubwa sana kuimarisha na kuijenga chadema. Amepambana sana, apewe mauaji yake.
Hata hivyo, Mbowe ana madhaifu makubwa katika uongozi wake ambayo sasa yamekomaa na kuanza kutoa harufu mbaya mpk akina Msigwa wameshindwa kuivumilia. Madhaifu hayo nitayaeleza hapa chini.
1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.