Mchambuzi nguli kabisa wa boli kutoka Clouds FM ameshangaa kwanini mshambuliaji namba 1 wa Pamba kuanzia benchi licha ya kuanza mechi zote za awali.
Soma Pia: FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024
Yapi maoni yako?
Mchambuzi wa mpira wa Clouds Fm, Shaffih Dauda “Digala” anasema kuwa Simba imenyimwa penati dakika ya mwisho baada ya Boka wa Yanga kumchezea madhambi Kijili ndani ya Box lakini mwamuzi Sasii akauchuna.
Digala akaongeza, “lile ni tuta haina haja ya VAR”
Mtu kama shaffih ukikaa kumtafakari unakuta huoni sababu na tija ya uandishi wake ! Shaffih yeye sio mwandishi wa habari ila ni mchochezi na mfitini ,akiona mahali pana mafanikio dakika moja anabadilika ,Leo anaiona simba na uongozi wote hasa upande wa mo ! Hawastahili kuiongoza ,huyohuyo...
Nasemajeee!
Napenda kukuambia ndugu Shaffih Dauda, uchawa umezidisha.. utaacha lini?
Alivyotoka Mbwana Samatta, kimbele mbele kikakuanza. Ukawa hukauki kwenda ubelgiji.
Akatoka bwana mdogo Kelvin John "Mbappe" na wewe kama kawaida yako hujiwezi!
Sasa hivi umeamia kwa Novatus Dismas Miroshi...
Imeandikwa kwenye ukurasa wa Shaffih Dauda.
Muda mwingine nikikaa nikifikiria natamani nikae kimya, ila ndani ya moyo wangu kuna sauti inaniambia,
"Dauda Sema Baba, Sema tu, Chungu siku zote ndio dawa"
Japo nafahamu muda mwingine usajili ni kama KAMARI, au tuseme bahati nasibu. Lakini kwa...
Mchambuzi Mnafiki Tanzania nzima Shaffih Dauda.....
"Sijaona kosa lolote kwa Injinia Hersi Said Rais wa Yanga SC kwa kauli yake ya wala mihogo."
Dauda Dhambi ya Njaa, Unafiki na Kujipendekeza kwa Viongozi wa Simba na Yanga inakutafuna na utaishia kubaya.
Najua leo umejitolea kumtetea Injinia...
Natamani kuandika andiko la pongezi kwa ubingwa wa 28 kwa Wananchi lakini nasubiri picha ya Mwenyekiti wa klabu, Dr Mshindo Msolla Mwenye picha ya Mwenyekiti akiwa na kombe hata kama imepigwa kwa simu naomba tafadhali Hata mwenye picha ya Kocha Nabi akiwa na kombe naomba.
Chanzo: Shaffih Dauda...
Mchambuzi mkongwe wa masuala ya mpira Shaffih Dauda amesema haya kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter “Hatuna timu yenye uwezo wa kubeba ubingwa wa Afrika, kwenye nyanja zote, huo ndio ukweli. Unaweza kufanya vizuri sana kwenye makundi lakini ubingwa hauna fluke hata siku moja, Champion...
Katika siku ambayo Dauda ameongea maneno ya hekima na busara basi ni jana YANGA kuna haja kubwa ya kujifunga kutoka kwa watani zenu
"Kuna wakati wengine wakae na Viongozi wa Simba mnajadiliana tu kuwa imewezekana vipi kuwa na mwendelezo kwa misimu mitano, ipi siri! Nanyi mnajifunza
Real Madrid...
Endeleeni tu Kumchekea huyo Msemaji wa Yanga SC Haji Manara na Upuuzi wake, ila ipo Siku mtatukumbuka tunaowaonya 24/7 kwa Madhara makubwa ambayo yatatokana nae huku mkimuogopa au mkiogopa kwakuwa kuna baadhi yenu mlifaidika mno Kibinafsi na Pesa za GSM.
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imetangaza kumfungia Shaffih Dauda kujihusisha na soka ndani na nje ya Tanzania kwa muda wa miaka mitano.
Dauda ambaye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa TFF amefungiwa kwa kwenda kinyume na Kanuni ya Maadili pamoja na Kanuni za TFF akidaiwa...
Akiwa katika kipindi cha michezo cha Sports Extra ya Clouds Fm, mchambuzi Shaffih Dauda amesema sababu kuu ya Mukoko kuuzwa na Yanga kwenda TP Mazembe ni kadi nyekundu aliyoipata katika mchezo wa Fainali ya FA dhdi ya Simba.
Katika mchezo huo, Mukoko Tonombe alimpiga kiwiko John Bocco na kupewa...
Shaffih Dauda anayejipambanua ni mchambuzi wa mpira wa miguu amewaita wana Yanga ni Mazuzu eti kwa kumkaribisha Manara ambaye alikuwa mwana Simba kama kirusi kwa Yanga.
Hii dhihaka wana Yanga mnakubaliana nayo?!
Wito,WANA YANGA WOTE SUSIENI KUNUNUA VIFAA VYA MICHEZO KWENYE MADUKA YAKE ILI LIWE...
MEI 13, 2021
Anaandika Mchambuzi, SHAFII DAUDA.
Binafsi sio muumini sana wa Seasons wala movies za part One mpaka Three, by nature nina uvivu wa kusoma sana au kukaa kwenye mada moja kwa muda mrefu, kutokana na changamoto ya muda
By the way niliwapa aina mbili za Haji Manara, nikawaelezea na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.