Laptop Inauzwa
Ni SAMSUNG LAPTOP
RAM 4 GB
Processor 2.4GHz
HDD 360GB
Betri yake nzuri sana inakaa na chaji masaa 4
Bei ni 260,000
Location ni Dar es salaam, Mbezi mwisho.
Mawasiliano 0752026992
𝗦𝗮𝗺𝘀𝘂𝗻𝗴 𝘇𝗶𝗺𝗲𝗱𝘂𝗸𝘂𝗹𝗶𝘄𝗮
Watumiaji wa simu za Samsung Galaxy mifumo Yao imedukuliwa na kusababisha changamoto kwa watumiaji wake.
Processor ya Samsung Exynos imedukuliwa na wadukuzi na kuweka code zao ambazo zinaendesha mifumo ya Samsung kupitia jarida la Google security export ilisema.
Kirusi...
Kwa wataalam sinu tajwa hapo juu siwezi ingia menu ya huduma mtandao husika mfano mpesa huduma za voda inaandika error na inakubali kuangalia salio pekee
Habari wana Jf
Je unateseka na simu yako sababu ya kioo? usikate tamaaa suluhisho limepatikana. Je bado unateseka na chaja yako kuharibika mara kwa mara. Sasa agiza na mi china kifaa original kwa bei nafuu hutojutia.
Napatikana Goba-Dar es Salaam, Tanzania
Nicheki whatsap no +255 622818217
Ndio simu ambayo natumia kulogin huku na kupost huko na huko ina 64GB ndani na 3GB of ram android 14 na Oneui 6.1
Ni yangu 100% na utakapo inunua palepale ndio nitatoa Samsung Account as proof ya kuwa mmiliki wake
Ninashida na 180k tu
Ipo good condition na nimeitumie for long time, nitaweka...
Habari wajameni,
Sisi low income earner tuko na changamoto sana ya kutaka vitu vizuri na imara at affordable price,, btw kila mtu anapenda vitu vizuri mazee.
Sasa basi, ukiachana na brand Tajwa hapo juu, Hisence imekuja kwa kasi sana mtaani na kuonekana ni TV nzuri at affordable price...
Wakuu!
Samsung Galaxy A series ni smartphone kutoka Samsung ambazo zipo za aina mbalimbali kuanzia low end (izi ni za bei ndogo na specifications za chini) hadi za mid rangers ambazo zina specifications kubwa chini kidooogo ya Note Series, S series na Z Series.
Sasa ukiwa unataka kununua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.