rushwa katika uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    LGE2024 Kagera: TAKUKURU yatoa onyo kali kwa wagombea na vyama vya siasa dhidi ya vitendo vya rushwa katika Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa

    Wakuu, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Kagera imewaonya wagombea wa nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, kutojihusisha na vitendo vya rushwa. Naibu Mkuu wa TAKUKURU mkoa wa Kagera, Ezekia Senkara...
  2. TheForgotten Genious

    Kuelekea 2025 LGE2024 Hii ndio mbinu wanazotumia wagombea wanafasi mbalimbali kutoa rushwa kwa wapiga kura

    Uchaguzi wa serikali za mitaa upo jirani sana, Wagombea kutokea vyama mbalimbali wameanza kujipanga ili waweze kupata ridhaa ya vyama vyao. Sambamba na hilo pia uchaguzi mkuu ni hapo mwakani tu panapo majaliwa, kuelekea katika chaguzi zote rushwa inatamba sana, wengi hutoa rushwa kwa mifumo nã...
Back
Top Bottom