Mkuu wa mkoa wa DAR anayesubiri barua ni Mtaka ambaye kwa sasa yupo Njombe.
Anakuja DAR kuwaondolea changamoto za Mwendokasi, mpangilio mbovu wa biashara na wafanyabishara huku akitumika kuwaweka pamoja wanasiasa wa chama tawala kwa kuondoa makundi.
Anakuja DAR kuanza kukusanya kura za makundi...
Mkuu wa mkoa wa Njombe Mh. Anthony Mtaka amewataka Wakuu wa Wilaya kuifuatilia Mikutano ya vyama vya Upinzani na kusikiliza wanachoongea.
Zile hoja za msingi zichukueni mkazifanyie Kazi msiwachukie, amesisitiza Mtaka.
Source: Jambo TV Njombe
Kuna malalamiko makubwa kutoka kwa waendesha Bodaboda na Bajaji walioshiriki kikao baina ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Antony Mtaka kuhusiana na hamasa ya sensa lakini awali wakati wanajiandisha asubuhi waliahidiwa kupewa lita 2 za mafuta.
Baada ya kumaliza mkutano baada ya Mkuu wa Mkoa wa...
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma (RC), Anthony Mtaka ametoa siku saba kwa wakazi wa Msalato waliojiorodhesha kudai fidia ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Msalato kwa njia ya udanganyifu kufika ofisi za Serikali ya Mtaa kuondoa majina hayo kwa hiari.
Mtaka ametoa agizo hilo Ijumaa Julai 22, 2022 wakati...
Wakuu wote wa majiji ya Tanzania wako Dodoma kwa mwaliko rasmi wa waziri wa Tamisemi mh Bashungwa kujifunza namna ya kujenga masoko bora ya wamachinga.
Wameitwa RC Homella, RC Makalla, RC Malima, RC Gabriel na RC Mongella wakiwa na mwenyeji wao RC Mtaka.
Masoko hajo yakijengwa katika majiji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.