Puto is a Filipino steamed rice cake, traditionally made from slightly fermented rice dough (galapong). It is eaten as is or as an accompaniment to a number of savoury dishes (most notably, dinuguan). Puto is also an umbrella term for various kinds of indigenous steamed cakes, including those made without rice. It is a sub-type of kakanin (rice cakes).
Makonda katukana na kumdhalilisha mtumishi wa umma. LHRC chombo cha haki za kibinadami, UWT umoja wa wanawake CCM wameshamkosoa Makonda. Makonda kiburi na ego vinamuendesha. Yeye anasema walikuwa wapi wakati mama Samia anadhalilishwa!
Kwahiyo tuseme breki ya Makonda ni mama Samia. Makonda...
Bwana Zunyou alizaliwa huko nchini china mwaka 1963 na baadae alihudumu kama Mtaalamu wa Magonjwa katika kituo cha China cha Magongwa na tiba.
Zunyou alihumu kama mkufunzi wa maswala ya magongwa na utafiti katika chuo kikuu cha California, Los Angeles.
Mwaka 2011 Zunyou aliwaacha mashabiki...
Iilikuwa shule fulani huko maeneo ya kibaha kwenye miaka ya 2000s.
Tukiwa tumetulia ghafla kengele ya dharura ikagongwa na sote tukakimbilia parade kujua kunani. Kumbe ilikuwa kengele ya jambo jema; jamaa wa bank (ya posta kama sikosei) walifika kutoa zawadi kwa mwanafunzi fulani pale baada ya...
Mkazi wa Ngara mkoani Kagera, Charles Mwakameta amepungua Kilo 58 baada ya kuwekewa puto maalum (intragastric ballon) katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila na kukaa na puto hilo kwa takribani mwaka mmoja.
Mwakameta amepunguza uzito kutoka Kilo 151 alizokuwanazo kabla ya Februari 20...
Vicent Fortunatus amesema huduma aliyowekewa ya puto maalumu (intragastric balloon) pamoja na kupunguza zaidi ya kilo 50 imekuwa na mafanikio makubwa ikiwemo kuondokana na changamoto ya maumivu ya mgongo, mwili kuwa mwepesi na kuwa rahisi kwake kutekeleza majukumu ambayo awali ilikuwa ngumu...
Madaktari Bingwa Dr. Eliasa Mkongo , Dr. Edwin Muhondezi. pamoja na Dr. Eric Muhumba (Surgeon) ambao ni Madaktari Bingwa wazawa Wakizungumzia Namna Uwekaji Puto Ndani Ya Tumbo unavtofanyika, watu gani wapaswa kuwekewa na Faida na Hasara Zake.
Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila hadi sasa imetoa huduma ya kupunguza uzito kwa watu 128 wenye uzito uliopitiliza kwa kutumia puto maalum (intragastic balloon), ambapo huduma hiyo pamoja na kupunguza uzito imekuwa na mafanikio makubwa ikiwemo kuwawezesha wateja hao kutekeleza majukumu yao...
Mkurugenzi wa hospitali ya Muhimbili, Profesa Mohammed Janabi amesema mpaka sasa wanawake 100 wamewekewa puto na wanaume wachache. Prof ameongeza kuwa puto ni kitu kimoja lakini nidhamu kwenye chakula ni kitu kingine.
Janabi amesema kitu hatari zaidi kwenye mwili ni sukari na wanga na wala si...
Ni uchokozi ama ni nini?!
=============
Habari za puto la kijasusi la China kuelea juu ya Marekani zimewaacha wengi wakishangaa kwa nini Beijing ingetaka kutumia chombo kisichokuwa cha kisasa katika uchunguzi wake wa eneo la Marekani.
Uwezo wa puto hili hauko wazi, lakini wataalam wanasema...
Msanii Peter Msechu amefanikiwa kupunguza uzito wa kilo saba ndani ya siku saba tangu alipowekewa puto na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Mloganzila ili kumsaidia kupunguza uzito.
Msechu aliwekewa puto hilo Januari 25, 2023 akiwa na uzito wa kilo 143.4 lakini kufikia leo Februari Mosi 2023...
Peter Msechu amefanyiwa matibabu ya kuweka puto tumboni ili kupunguza uzito na unene inayoendelea kutolewa katika hospitali ya Mloganzila.
Peter Msechu amefunguka machache kuhusiana na changamoto ya kuwa na uzito wa kupitia kiasi kama ifuatavyo
"Watu wananisema sana mtandaoni kuwa Mimi ni mnene...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.