Hawa ni watu wawili ambao wanaweza kuondoka CCM na maisha yao yakabaki kama yalivyo sasa.
1. Hawapendi yanauoendelea ndani ya CCM wala serikali
2. Vipato vyao havitegemei serikali
Gwajima ni kama Ndesamburo ambaye biashara zake za utalii serikali ilishindwa kuzihujumu. Gwajima pesa yake...
Enyi wazee wa kiafrika wenye miaka 60 kazini ondokeni achieni vijana nafasi kwasababu wana ujuzi mpya, mnang’ang’ania kana kwamba hamjazaa
Enyi wazee wetu miaka 60 ya kustaafu imeshatimia bado hamuachii viti mmekua kama hamjazaa mbona vijana tupo
Vijana wenye ujuzi mpya wapo mitaani...
Nimefurahi uchaguzi unaendelea ndani ya CCM ni hatari tupu, wale matajiri waliowekwa kando na Mh Mwendazake, sasa wanarudi Kwa kasi kasi ya 4G.
Ninaikumbuka sana CCM ya kabla ya Magufuli, ilivyokuwa tulip kuwa na macho tunakumbuka wenyeviti wa CCM mikoani walikuwa wafanyabiashara wakubwa sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.