Wakuu, huu ni mwaka wa ubaya ubwela.
Pamoja na kwamba kuna vitu vinanitia wasiwasi kuhusu Simba hasa kwa performance ya hivi karibuni ila naamini huu ni mwaka wa mafanikio makubwa kwa Simba kuanzia kuchukua NBC hadi CAFCC.
Kwa hiyo nawapa Mods mamlaka ya kunipiga ban ya mwaka mzima iwapo...
Yanga hii? Aaaargh. Watu watalia sana. KMC leo anachapika vibaya si chini ya bao 2. Yaani kufungwa ni kama Pi. Haina ubishi. Yanga imekamilika kila idara na ndiyo team yenye washambuliaji hatari sana katika ligi.
Isitoshe tumefanikiwa kuukagua uwanja asubuhi hii ndo tunatoka. KMC wameisha...
Haiwezekani Yanga leo isishinde. Haiwezekani. Yanga leo inashinda si chini ya bao 2. Yaani ushindi upo na ni lazima. Yanga imejipanga kwa hali na mali na kwa kila kitu.
Leo tunashinda. Ubao umetusoma vizuri na wazee wamebariki. Hatoki mtu hapa kwa Mkapa. Nipigwe ban na viboko 14 hadharani...
Mimi Dabil nikiwa na akili zangu timamu bila kushurutishwa au kushawishiwa na mtu yeyote,Yanga akivuka hatua ya makundi na kuingia robo fainali nipigwe BAN ya mwezi.
Ninetafakari sana,haitatokea Yanga kuvuka hili kundi maana hawana uzoefu wa kuingia robo fainali ya club bingwa mwisho wa ni...
Mchezo umeshaisha. Simba akishinda leo nipigwe ban ya Siku 3. Sioni hawa madogo wa mikia wakishinda. Sioni kila nikiangalia naona wamejawa na kipigo tu na hamna team pale.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.