Wakuu !
Inawezekana tumezoea kuona mchezo wa mpira wa miguu ukipata faida kutoka kwa serikali.
Mfano goli la mama katika michuano ya kimataifa na hapa naweza kusema Yanga na Simba ndiyo wamenufaika zaidi kulamba mihela ya goli la mama na hata timu ya taifa nayo siku kadhaa zilizopita walipata...
Bondia Tyson Fury amesema anatakiwa kumpiga mpinzani wake, Oleksandr Usyk kwa K.O na sio kwa pointi kwa kuwa anaamini wakimaliza pambano na matokeo yakakiwa kuamuliwa kwa pointi basi itakuwa ngumu kwake kushinda.
Pambano la marudio la wababe hao limepoangwa kufanyika Jumamosi Desemba 21, 2024...
Patrick Nyembera ni mmoja kati ya wachambuzi wa michezo nchini ambaye anafanya kazi hiyo Azam Media. Na mara zote amekuwa ni Commentator wa masumbwi ambayo kwa Azam wanaita Vitasa. Katika mapambano mengi huwa wanakuwa na watu wengine kwenye kuelezea michezo hiyo na kuwapa radha watazamaji...
Mimi sio mtu wa mchezo wa masumbwi ila nimelazimika kufuatilia huu mzozo kati ya Mwakinyo na mapromota na kujikuta nimejua mambo kadhaa kuhusu mchezo huo. Na baada ya wengi wenu kunisihi nitoe maoni yangu kuhusu hili sakata nimeona acha nitumie haki yangu ya kikatiba ya uhuru wa kutoa maoni. Na...
Tunapomalizia weekend jamani salamu🙁
Kichwa cha habari kinajieza.Huyu jamaa au mbabe wa ndondi enzi hizo ilikuwa akiingia tu basi anatoa klebu moja tu kwa mpinzani wake tena dakika ya kwanza tu na pambano linakuwa limeisha.
Sasa mi naona watu au mashabiki walikuwa wanaliwa tu hela ya bure...
Kama Baba wa Taifa wa Kisiwa cha Zanzibar, Hayati Karume anaanza kupuuzwa hivi kwa yale aliyoyakataa na kuyazuia na kuyafanya hii siyo Dharau Kwake na kulazimisha kuitafuta laana yake ambayo huenda ikawagharimu Wazanzibari?
"Nimepigwa na huyu Bondia Golola kwakuwa nimegundua ni Mganga wa Kienyeji, kwani nilikuwa naona mauzauza tupu ulingoni. Leo mnaniletea Mganga wa Kienyeji ipo siku mtaniletea hata majini ili kupigana nami sitaki jamani." Amesema Bondia Mandonga jana baada ya kupigwa kwa KO na Bondia Fundi Moses...
Bondia Twaha Kiduku amefanikiwa kupata ushindi huo na kutetea Mikanda ya PST na UBO Inter Continental, Uzito wa kati Super Middleweight (Kilogram 76) lililofanyika kwenye Ukumbi wa Tanzanite Mkoani Morogoro.
Majaji wote watatu wamempa ushindi Kiduku kwa Pointi 98-92, 98-92, 97-93 licha ya...
Joshua (33) amepata ushindi wa kwanza tangu Mwaka 2020 licha ya mashabiki kutoridhishwa na kiwango alichokionesha katika pambano hilo lisilo la mkanda la raundi 12 kwenye Ukumbi wa O2 Arena, London.
Majaji wawili walitoa pointi 117-111 kila mmoja na mmoja pointi 118-111 ambapo baada ya raundi...
Bondia Mtanzania Stumai Muki amefanikiwa kushinda dhidi ya Chimwemwe Banda raia wa #Malawi kwa pointi katika pambano la Raundi 8 uzito wa kati Super Fly jijini Dar es Salaam.
Mara baada ya pambano hilo Stumai amesema ametimiza kile alichokiahidi kwa Watanzania wakati upande wa Chimwemwe amedai...
Pambano limepangwa kufanyika kwenye Uwanja wa Wembley, Aprili 29, 2023 lakini halitakuwepo baada ya Oleksandr Usyk kumtupia lawama Fury.
Timu ya Usyk imedai licha ya Fury kunufaika katika mgawanyo wa malipo kwa asilimia 70-30 lakini ametoa masharti mengi ambayo yameonekana kumkwaza Usyk...
Ngumi kwa sasa zimekuwa dili na ajira nzuri kwa mabondia.
Katika michezo ya kimataifa skendo za Match fixing ni mbaya sana kwa nchi yetu.
Mpaka ABU wameamua kutokukubaliana na maamuzi ya majaji walioko huku Tanzania, basi tufahamu ya kuwa tayari bomba linavuja na dunia imeanza kufahamu kuwa...
Ila siyo Siri Mo Dewji kwa sasa wala nisikufiche unazingua na unatuzingua sana tu wana Simba SC hasa kupitia hicho Kifidodido chako CEO Barbara Gonzalez.
Hivi Wewe Mo Dewji kama kweli Mzigo wa 20 Billion upo na uliuweka Simba SC ndiyo tushindwe kweli kutoa Tsh Milioni 800 kwa Victor Adebayor...
Kwanza nianze kumpongeza kwa anachokifanya,si kwamba nampongeza kwa kupigwa pigwa la,ila kwa kutumia fursa.waswahili wanasema "bahati haiji mara mbili" na "mungu akitaka kukupa hakuandikii barua"
Mandonga licha ya kupoteza kwa kupigwa kwa aibu katika mapambano yake.bado hajawahi kuonesha...
Habari
Jana usiku nlifuatilia mpambano kati ya emiliano patrick na Osama el-labi,kwa hakika nimevutiwa sana n kipaji cha huyu bondia chipukizi.Osama ametuonesha sisi wapenzi wa ndondi kuwa atakuja kuwa moja ya mabondia wazuri hapa nchini.
Wito wangu ni kwa wadau wa ndondi kuweza kumpatia...
Rais wa Ndondi Tanzania, amefuta pambano la Karim Mandonga na Salim Ally kutoka Tanga. Pambano lilikuwa la round nne ambalo walipambana hadi mwisho.
Hata hivyo Rais amefuta pambano hilo baada ya referee kutochezesha pambano kwa usawa, ikiwemo kutomuhesabia Mandonga alipoangushwa.
Fuatilia pambano la masumbwi kati ya bondia wetu Hassan Mwakinyo dhidi ya Liam Smith leo tarehe 3 saa nne na nusu usiku huu kupitia link hii
https://www.vipleague.st/boxing-sports-stream
Tayari mapambano yameshaanza ulingoni ndani ya Uwanja wa Majimaji Mjini Songea, leo Jumamosi Julai 30, 2022:
Ndunguru ashinda
Bondia Usungu Ndunguru amefanikiwa kupata ushindi dhidi ya Bernard Chitepete katika pambano la awali. Wamepigana uzito wa Super Light, raundi 6.
Mtu kachapika TKO...
Mambo yanazidi kumuendea kombo bondia Hassan Mwakinyo baada ya kuporomka kwa mara nyingine kwenye ubora.
Wiki iliyopita bondia huyo namba moja nchini aliporomoka kwa nafasi 16, kutoka ya 17 hadi 33 duniani kwenye uzani wake wa super welter.
Jana ameporomoka tena kwa nafasi mbili hadi nafasi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.