nchi za africa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Umasikini ambao upo nchi za Africa ni umaskini bandia na sio umasikini unaotokana na Mazingira au umasikini halisi

    Umasikini ambao tunao katika bara la Africa ni umasikini bandia na sio kwamba unapatikana Kutokana na Mazingira. Katika post hii nitamui-invite ndugu Robert Heriel Mtibeli ambaye aliwahi kuzungumzia hili jambo . Umasikini - ni hile hali ya mtu kushindwa kukidhi mambo makuu matatu ambayo ni...
  2. Nchi za Afrika zilizofanikiwa kurusha satelite zao katika anga mbalimbali

    Nchi za Afrika hupeleka satelaiti zao anga za mbali kwa sababu mbalimbali, ikiwemo kufanya tafiti za kilimo na kurahisisha upatikanaji wa huduma za mawasiliano. Ifuatayo ni orodha ya nchi za Afrika ambazo zimefanikiwa kurusha satelaiti zao kwenda anga za mbali. chanzo TRT Soma Pia: Afrika...
  3. L

    Kwa nini Marekani haipendi kuona nguvu ya “Dunia ya Kusini” inaongezeka?

    Mkutano wa Kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC wa 2024 ulimalizika hivi karibuni mjini Beijing, na kupitisha "Azimio la Beijing" na "Mpango wa Utekelezaji (2025-2027)". Wakati jumuiya ya kimataifa, ukiwemo Umoja wa Mataifa, ikipongeza kujumuika tena kwa familia za China...
  4. Mambo matatu yanayoangusha nchi nyingi za Afrika

    1. Less talent are in high position(ikimaanisha watu wenye uwezo mdogo wa kuwaza mambo makubwa kwa ushirikiano ndo wameshikilia nafasi nyeti) 2. Those who contribute a little are given a higher reward( ikimaanisha watu wanafanya kidogo ila wanataka waonekane kuwa bila wao tusingefika kokote ila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…