Wapendwa nawasalimu kwa jina la Yesu Kristo,,wapendwa me naumwa kiuno kimenisumbua sahizi Kama miezi miwili sasa.
Umri miaka 29
CHANZO CHA TATIZO:
Siku moja usiku nilikuwepo nyumbani basi nipo zangu nimetulia ndani mala panya akapita juu ya kench nyumba ni slope ,,nikawa nimechukuwa ufagio...
Toka juzi naumwa yaani kuna saa nasikia bariidii
Kuna saa nasweat Sana hasa usiku
Halafu sina nguvu wala appetite
Na mdomo mchungu
Pia sina nguvu
Sitaki kwenda hosptal
Naombeni mniambie dawa ya kutumia najua wataalamu wengi humu
Habarini wakuu naomben msaada kabla sijaenda kusemwa na daktar kibofu kinaniuma, napata mkojo mchafu na maumivu pia wakat wa haja ndogo, natoa kinyes kigumu sana na ninasikia Homa kwa mbali.
Hizi zitakua dalili za nini wakuu?
Wakuu nasumbuliwa na korodani lakin kila nikienda hospital hawaonj. Wanaishia kupiga ultra sound na kunipa ant pain.
Lqkin mm naamini ugonjwa upo maana tqtzo lilianzaga na UTI. baadae ikafika kwa korodan.
lakin UTI ilipona ila hizi ndude had leo zinauma
Ndugu zangu naumwa fangasi kwa muda sasa ila pia sehemu ya kichwa cha uume kumekuwa kama na Ile ngozi iliyopo kwenye korodani.
Sasa selewiii tiba ni nini.
Habari, mnisamehe wapendwa nawapenda wote miamia.
Yaani naipenda hii siku hadi naumwa mapenzi hapa nilipo nshapiga konyagi kubwa lao mbili nakula vibez kama zote.
Ni mimi Baharia Wadiz
Hata ukiniamsha usiku ukaniuliza nn chanzo cha matatitizo ya kila aina (kiuchumi, kijamii na kisiasa) hapa nchini nitakujibu kuwa chanzo ni CCM.
Hivyo naichukia CCM kwa moyo wangu wote na ninawachukia sana wanaccm kiasi kwamba niko kwenye hatua mbaya sana.
Nikimuona mwanaccm jazba inanipanda...
Nina sababu nyingi za kuipenda urusi sana tena sana. Hizi ni baadhi.
1. Urusi alisaidia sana Kwenye ukombozi wa bara la afrika wakati tukipigania uhuru. Wapiganaji wengi wa kuikomboa afrika walifundishwa na warusi.
2. Wakati mrusi anaisaidia afrika kujikomboa mmarekani alikumbatiana na watesi...
Habari wadau wa hili jukwaa?
Naomba niende kwenye mada hii.
Jamani Mimi kwa muda sasa naumwa ila nashindwa keelewa hasa ninancho umwa.
Kwanza tatizo lenyewe ni kama la vdonda vya tumbo lakini kama dalili zinanichanganya kidogo na nimepimwa H PILORI na iko negative.
Dalili ambazo nazipata...
"Amewaambia nani naumwa?" nimekumbuka haya maneno tuliambiwa na jirani yetu mgonjwa baada ya kusikia anaumwa tukasema ngoja tukamuone ila kilichotukuta mpaka huwa nawaza Mara mbili mbili namna ya kwenda kumuona mgonjwa.
Jamii yetu bado haielewi kama suala LA kuumwa linabaki kuwa la familia au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.