Ninapoishi kumezuka huu ugonjwa wa kuku kujaa mafuta mengi mwilini hadi kushindwa kula na kufa kabisa.
Kama akichinjwa kabla hajafa akipikwa hutoa mafuta mengi wastani wa mils 100 na kuendelea.
Mwenye kujua tiba yake nahitaji kujulishwa tafadhali.
Habari wanajamvi!
BIla ya kupoteza muda twende kwenye hoja ya msingi , kumekuwa na kasumba ya wanawake kwa wanaume hususan wanaoishi katika mikoa ya Dar, Pwani na hata Zanzibar kujichora tattoos.
Wengine watu wazima tena michoro isiyokuwa na maana kabisa wanajamvi nielewesheni bira kuni karipia...
Watu Wanatembea na Laana Mwilini bila Kujua
Laana ni Nini
Laana ni bahati mbaya au maneno mabaya ya maapizo yanayotamkwa kumuelekea mtu fulani yeye mwenyewe au kitu fulani kinachomuhusu, kwa makusudi ya kumdhuru mtu huyo au kitu kinachomuhusu. Kwa mfano, kazi, shamba, watoto, masomo n.k. Laana...
Kausiku kameingia, njooni tuzogoe.
Mpo humu wanaume ambao mnapenda muachiwe mbususu zikiwa na minywele imetaradadi, wakinyoa mnakasirika mfano mzuri huyu hapa "Mwanamke kunyoa sehemu za Siri bila ruhusa ya mme wake, ni kosa la kuvunja ndoa."
Na pia mpo humu wanawake ambao mshakutana na wanaume...
Kadiri uwezavyo nakushauri kijana epuka sana kuchora tatoo katika mwili wako. Kuna mambo mengi yamejificha nyuma ya uchoraji wa tatoo katika mwili wa binadamu. Tatoo hata kama unachora tatoo ya msalaba au kitu unachofikiri ni kitakatifu, ulichofanya ni kitu kibaya na hakitakuacha salama. Tatoo...
Ndugu wa wagonjwa wenye wagonjwa wanaopatiwa huduma za matibabu katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameshauriwa wanapowatembelea wagonjwa wao kuwapelekea vyakula vyenye kuongeza damu kutokana na mahitaji makubwa ya damu ili kukabiliana na upungufu wa damu mwilini...
Wanajf ninaomba anayekifahamu kipimo hiki anieleweshe!Ni kipimo nimeambiwa unalipia sh.30000,wewe ni kukaa na kusubiria majibu ndani ya dakika chache!Utaambiwa shida zako zote!Kwa kuwa ni suala la kiafya ninaomba wataalamu njooni mnielimishe kwani kama mnavyojua sasa hivi "afya" imegeuzwa ni...
Najaribu kujiuliza, vipi kama Tundu alifungwa Camera fiche na itakuwaje endapo hata ya sirini kama ya akina Abdul na Wenje yalihifadhiwa pasina wao kutambua?!
Itakuwaje endapo pengine rasmi ataamua kwa ushahidi wa records ayamwage hadharani hata yale tusiyo yatarajia alipatwa kufuatwa na...
Abdul Nondo akutwa na kiwango kikubwa cha sumu mwilini
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ACT-Wazalendo Taifa Ndg. Abdul Nondo jana tarehe 03 Disemba 2024, alifanyiwa upasuaji mdogo kwenye unyayo baada ya madakatri wanaomuuguza katika hospitali ya Aga Khan kubaini uwepo wa mivunjiko midogomodogo...
Kumekuwa na maneno kuwa mtu aliyevunjika labda mbavu, mguu au nyonga akipelekwa hospitali labda akaongezewa kiungo cha chuma kumsaidia kundelea kutembea kama alivyokuwa, ni kweli akifariki dunia kile chuma huondolewa kabla ya kuzikwa?
Package ina
-1 Glucometer (mashine ya kupima sukari)
-25 testing strips
Bei : 35,000/=
Testing Strips (50)
Bei: 20,000/=
Tupo TANZANITE PHARMACY - Tabata Aroma
Mawasiliano
0653776099
0789344956
0767810030
0620249911
Free delivery pia ipo ndani ya Dar es Salaam
Kuna vipimo vya kimaabara vya kubaini hayo? Vinapatikana kwenye hospitali zipi, kubwa tu au hata vituo vya afya?
Mara nyingi watu wamesisitizwa kula matunda na mboga za majanikwa wingi kwa kuwa ni miongoni mwa vyakula vyenye utajiri mkubwa wa vitamini na virutubisho mbalimbali, jambo ambalo ni...
Niliambiwa nina damu 17, nikaambiwa nipunguze sikujibu chochote daktari akajiongeza sijaafiki ila akanitajia dalili kadhaa kuwa nikiziona basi niende wakanipunguzie si nimegoma kwa hiari!!..
chaajabu nilikuja kufatilia nikajua normal damu inatakiwa kuwa 16,sasa mimi kuzidi hiyo moja tu ndo...
Umuofia kwenu Wakuu.
Ni zaidi ya wiki sasa mwili wangu ni dhaifudhaifu. Yaani balansi ya mwili haijakaa sawa, japo ninaweza kufanya mambo yangu bila tatizo.
Nimepima vipimo zaidi ya 10 mpaka sasa. Miongoni ni full blood picture ambayo ilionesha kinga za mwili ziko chini, ie white blood cells...
Unatongoza binti mbichi kabisa wa 2000 mkifika kwa mkapa akivua jezi unakuta chale mgongoni,kwenye matiti au sehemu yeyote mwilini,ukimuuliza anakwambia nikiwa mdogo niliumwa sana ndio nikaoakwa dawa.
Hii kitu nawezw kusema ni asilimia zaidi ya 80 ya wanawake wa kanda ya ziwa,bila kujali kabila...
Mathalani, za kwenywe kidevu zinaitwa ndevu, chini ya pua kwenye lip ya juu ya mdomo zinaitwa sharubu, za machoni zinaitwa kope, za juu ya macho zinaitwa nyusi, za kifuani zinaitwa love garden, za kichwa zinaitwa nywele, na za huko chini ndio kama mnavyojua tena.
Sasa, hizi za kwenye kwapa...
Nimebata vibarango naona vinanirudia rudia nimeambiwa labda viko ndan bora itafute dawa ya kunywa ndo vitaisha
Sasa ni dawa gani yenye uhakika kwa ambao mmeshatumia
Ili kufuatilia nyendo za Polisi na kuepusha rushwa. Polisi walazimishwe kuvaa body camera ili kufuatilia mazungumzo na mienendo Yao yote ichunguzwe na Mamlaka huru (Independent Police Oversight Authority).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.