Salaam Wakuu,
Nimeangalia huu Mtifuano wa aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki Wakili Tundu Lissu na aliyekuwa Spika wa Tanzania Anna Makinda.
Je, Wabunge na Wanasiasa wa kizazi hiki, kuna cha kujifunza?
Hili lilikuwa bunge la kumi Mkutano wa kumi na nane na kikao cha tatu wabishana kuhusu...
https://www.jamiiforums.com/threads/amos-makalla-kuna-mgogoro-mkubwa-unakuja-ndani-ya-chadema.2282803/
Hapa Makalla anataja tarehe za mgogoro kutokea na sababu za mgogoro kutokea, halafu kapita mule mule!
Makalla alijuaje kama kimkamia
Mpiga kura Mtaa wa Mwatulole katika kituo cha kupigia kura Mwatulole Center ambaye awali alilalamika kutoona jina lake, hatimaye amekiri mbele ya msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Geita Mjini, Yefred Mnyenzi kuwa jina lake limeonekana na ametimiza haki yake.
UCHAGUZI wa kumtafuta Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa umeacha mtikisiko mkubwa ndani ya chama hicho kiasi cha viongozi wa chama hicho kutumiana meseji zenye maneno makali kupitia kundi lao la WhatssAp.
Kinyang'anyiro hicho kilikuwa baina ya aliyekuwa...
Mshikeshike, mtifuano unaendelea kuhusu kubadili sifa za kujiunga na astashahada kutoka D mbili za Chemistry na Biology kwenda C mbili au zaidi za Chemistry na Biology!
Kiukweli, sifa zinazopendekezwa na serikali zitaathiri vyuo vya afya vinavyotoa hii kozi! C mbili za Chemistry na Biology ni...
Siri Yafichuka Ndani Ya Equity Bank, Mmiliki Wa Gazeti La Jamvi La Habari Alipewa Tender Na Swahiba Wake Zenda
Baada ya mgao kuzulumiana wameanza kutajana njama chafu za Equity Bank walipogawa Tender kwa aliyewahi kuwa Katibu Tawala Daniel ZENDA aliyetimuliwa kwa Utapeli, ulevi na Wizi, Daniel...
Hii ndio Taarifa ya sasa inayozunguka kila mahali.
===
Pazia la uchukuaji na urejeshaji fomu za kusaka uongozi katika kanda nne za kiuongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), linafunguliwa rasmi leo Ijumaa Aprili 12 hadi 22, saa 10 alasiri.
Nafasi zinazowaniwa ni mwenyekiti na...
Salaam wana JF,
Wakati ndugu zetu waislamu wakisherekea siku kuu ya eid el fitri, natamani tujadiliane kidogo kuhusu swala la Bima yq afya kwa wote.
Kiukweli, nachukua fursa hii kuipongeza serikali kwa kuona umuhimu wa kuja na mpango wa bima ya afya kwa wote, maana watanzania wengi ambao...
Mimi na miaka yangu yote hii sijawahi kuona uenezi wa aina hii.
Tunavyojua bunge na serikali ni vitu viwili tofauti, kwa cheo cha makonda pale ccm inabidi adili na viongozi waliochaguliwa kwa tiketi ya chama chake na anadili nao kwenye hizohizo nyadhifa walizochaguliwa. Mfano, makonda hana...
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 kuliwahi kuandaliwa shindano la wenye sura mbaya Tanzania kwa upande wa wanaume. Wanawake walikataa hivyo likaandaliwa la wanaume tu.
Washiriki walikuwa wengi lakini waliofanikiwa kufika top 3 walikuwa ni Mzee Jangala, Remmy Ongala na Masoud Sura Mbaya.
Baada ya...
Ratiba kamili ni hii hapa chini, ikionesha jinsi mtiririko wa matukio ulivyokuwa, kuanzia kupeleka malalamiko mpaka usikilizwaji wa kesi yenyewe. Leo tarehe 30/8/2022 tukio linalofanyika ni mkutano wa uwasilishaji malalamiko kabla ya kesi (pre trial).
Kesho tarehe 31/08/2022 ndipo kesi itaanza...
Mvurugano ndani ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) umeendelea baada ya viongozi wa juu wa tume hiyo Mwenyekiti Wafula Chebukati na Makamu wake, Juliana Cherera kupishana kauli wakiwa kwenye kikao cha pamoja.
Viongozi hao wakiwa na wajumbe wenzao wa Tume pamoja na wawakilishi wa vyama...
Mgawanyiko mkali kati ya watu wa Lukuvi,Tulia,Mussa. Kila mtu anataka mtu wake awe spika wa bunge. Na kila kundi linaona mtu wake ndio anafaa kuwa spika.
Musukuma kubebwa na PhD yake ili kuukwaa uspika.
Ngoja tuone mwisho wa hii kitu.
Kuna kila dalili ndani ya chama mfumo dume umetamalaki na una mizizi mirefu sana. Kuna kundi kubwa huko haliamini katika uwezo wa mwanamke kushika nafasi kuu kwenye utawala/uongozi wa nchi. Wengine ni kutokana na tamaduni mila na desturi zao. Na wengine ni kutokana na unyanyapaa tu na silika za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.