Kwa siku za hivi karibuni mtandao wa Vodacom umekuwa ukisumbua sana Hali ambayo imepelekea usumbufu mkubwa sana kwa watumiaji wa mtandao huu.
Kumekuwa na Hali ya kukatika kwa network au kushindwa kufanya miamala ya kifedha jambo ambalo limekuwa likijirudia rudia na kuzua sintofahamu Kubwa kwa...
Nimepata tatizo nilikuwa naweka pesa kwenye account ya Mpesa visa kiasi cha Tsh 80000 ili nifanye malipo mtandaoni ila sasa salio silioni kwenye Mpesa Visa.
Huku Mimi nimesharudishiwa sms kuwa salio nimeshaliweka Mpesa Visa.
Ndugu zangu wana Jamvi mnakumbuka siku chache zilizopita, baadhi ya wateja wamekumbana na changamoto za kutumia huduma ya mtandao wa Vodacom?
So Vodacom Tanzania hivi sasa wanafanya maboresho muhimu ya mifumo ya TEHAMA kwa lengo la kuboresha huduma kwa wateja wake.
Soma, Pia: Mtandao wa...
Vodacom kwa kipindi kirefu umekuwa ni mtandao tegemezi kwasababu ya ubora wa huduma zao zinazopatikana sehemu nyingi nchini kuliko mtandao mwingine kama ifuatavyo;
1. Huduma za kipesa ( mpesa) huduma hii inapatikana sehemu nyingi zaidi ya mitandao mingine
2. Internet yenye kasi zaidi
3. Vocha...
Huku kwetu ikifika saa 12 jioni ni shida tupu, usifanye miamala mida hiyo utakoma!!!!!! TCRA mkoa wapi kuwatetea walaji?
Pia soma: Vodacom yaomba radhi kutokana na changamoto ya mtandao inayoendelea, wanashughulikia kumaliza tatizo
Wakuu naona network ya mtandao wa voda inasumbua hivi ni kwangu tu au na nyie mnapata shida kama mimi. Ni kama network haisomi na nina line ya airtel nikikaribu mpigia mtu wa voda hapatikani pia.
Inawezekanaje huduma za;
1. Kupiga simu zisiwepi
2. Internet isiwepo
3. Sms ziwepo
4. Mpesa hakuna nk?
Kwanini msiboreshe kwa zamu?
Mnajua kuwa simu;
1. Huokoa maisha?
2. Internet ni ofisi za watu?
Je mnafidia walaji kitu gani au mtaishia kuomba radhi?
Wahuni nyie
(Tutaboresha mifumo yetu leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.