Serial ATA (SATA, () abbreviated from Serial AT Attachment) is a computer bus interface that connects host bus adapters to mass storage devices such as hard disk drives, optical drives, and solid-state drives. Serial ATA succeeded the earlier Parallel ATA (PATA) standard to become the predominant interface for storage devices.
Serial ATA industry compatibility specifications originate from the Serial ATA International Organization (SATA-IO) which are then promulgated by the INCITS Technical Committee T13, AT Attachment (INCITS T13).
Shamba Lina ukubwa wa heka 60 lipo msata umbali kilometers 3 kutoka balabala ya lami msata bagamoyo
Lina nyumba ya tofali vyumba 2 bei 350,000 wa Kila heka
Kwa mawasiliano 0659891515
KUMI LA PAMOJA CHALINZE
Wana Chalinze wa Tarafa za Kwaruhombo na Msata wamejumuika na Mbunge wao ambaye ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete katika futari ya pamoja kipindi hiki cha Mwezi wa Ramadhani.
Futari hii iliyokutanisha Masheikh na...
Heshima yenu wakuu.
Naomba uzoefu wenu kuhusu MSATA.
Je Kuna fursa gani ya BIASHARA mtu anaweza kufanya?
Vipi kuhusu Gharama za nyumba za kupanga?
Au Kama Kuna sehemu nyingine NI nzuri kwa BIASHARA pia sio mbaya kama utasema
Msaada wenu tafadhali,ndugu yangu anahitaji kujua.
Wakazi wa Msata wamemshukuru Mkuu wa majeshi nchini Jenerali Venance Salvatory Mabeyo kwa kutoa sehemu ya fedha za mauzo ya kitabu chake kiitwacho "Wewe ni Shahidi wa Kristo?" ili kukarabati Msikiti na jengo la Kanisa Katoliki katika eneo lao
Naye mkuu wa shule ya jeshi Msata ameahidi kusaidia...
Hayo maelezo ya CDF yanaacha maswali mengi kuliko majibu. Maana kuharisha na kutapika inawezekana pia ni "Rhabdomyolisis" hali ambayo hupelekea "Acute kidney failure", kwa kesi ya vijana moja kwa moja ni mazoezi ya kupitiliza kutoka kwa maafande. Uchunguzi huru unahitajika
na wa kuwajibishwa...
Kazi ya ugaguzi ina vitengo vya customer care, ushauri nasaha, afya, ndoa na mahusiano..... Si kila wakati ni matunguli na vibuyu... Kuna nafasi pia za kuangusha moja moja.. Na kufanya bumpingi....
Kuna maneno watu wazima wakiwa wenyewe huyatamka.. Na pengine bila kutaka, yani sio kwa hiari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.