Mrisho Mpoto
Watanzania wengi wanamjua Msanii Mrisho Mpoto ambaye anafahamika si tu kwa kazi zake, bali pia kwakuwa hutembea peku peku wakati mwingi.
Mpoto amejipatia umaarufu kwa utaratibu wake huo katika ukanda wa Afrika Mashariki, lakini je, ni kwanini aliamua kutovipa viatu umuhimu katika...
Msanii Mrisho Mpoto amekuwa gumzo mitandaoni baada ya kutumia ukali kufikisha ujumbe kwa Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu mbele ya Rais Samia na wageni waalikwa wakati wa hafla ya kupokea Ripoti ya Utafiti wa Afya ya uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria na Ugawaji wa Magari ya kubebea wagonjwa...
Umedhalilsha Maaskofu na wengine walioalikwa kwenye utiaji sahihi mikataba ya bandari. kama umetumwa na walitoa mwaliko, basi LAANA itakuandamana MILELE NA WATOTO WAKO/UZAO WAKO!
Msanii asiye na Kipaji , Mrisho Mpoto , amelaumiwa na watu wote kwa kutoa maneno ya kejeli dhidi ya Padri Kitima ambaye pia ni Katibu wa TEC.
Kukejeliwa kwa Padri Kitima kumetokana na kuonekana kwake kwenye hafla ya kusaini mkataba haramu wa Bandari kati ya Tanzania na DP WORLD ya Dubai ...
Ni Kauli ya Msanii lakini imebeba ujumbe mzito sana.
Yawezekana hao 5% waliopelea kwa mujibu wa takwimu za Mpoto ni wale Chadema na akina Mwabukusi.
Sijajua Mrisho Mpoto alitaka kumaanisha nini hasa lakini Ujumbe wake kwa tafsiri yoyote ile ni mzito.
Mungu wa Mbinguni awabariki 😀
Halikuwa jambo la kiungwana. Wahusika mnisikie na kunielewa. Jana, pale Ikulu Chamwino kwenye utiaji saini mikataba mitatu ya uwekezaji katika Bandari ya Dar es Salaam kati ya Serikali/TPA na DP World vilirushwa vijembe kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC).
Tuliofuatilia tunajua kuwa...
Huwa namuona huyu Mrisho Mpoto akiwa ndiye mtumbuizaji karibia katika shughuli zote muhimu za Serikali.
Ni kwamba yeye ndiye anayejua sana au kuna uhaba mkubwa wa watumbuizaji wengine wanaofiti katika hizo shughuli za serikali?
Sijui ni uchawa au kujitoa akili.
Mpoto amepitia chuo cha sanaa Bagamoyo ila nadhani alifeli. Najua anatumia stail ya kughani majigambo katika fasihi
Kero yangu ni kwamba kwenye mikutano ya serikali badala ya kuimba yeye anahutubia kwa kutoa takwimu, hiyo sio sanaa, sanaa haina takwimu...
Mrisho Mpoto alianza enzi na mashairi yaliyomleta kwenye ramani akianza na lile la "Mpendwa mjomba, tumetengenishwa na ukuta..."
Watu wakamuelewa na namna yake ya kughani, wimbo wa mwisho wa aina hiyo ilikuwa Sizonje, baada ya hapo naona hali imekuwa tofuati.
Sidhani kama anaweza kukaa...
Aawali ya yote ninapenda kuwashukuru kwa kubahatika kunusa uzi huu. Ifuatayo ni Tafakuri fupi ya uchambuzi Inayotokana na shairi la Tausi lililo ghaniwa na Mpoto akiwa na Mbosso.
Tausi wewe
Tausi wetu
Karibu Tausi uipambe nyumba yetu
Awali Mshairi ana mkaribisha Tausi, hivyo Tausi ni Mgeni...
Kwema Wakulungwa!
Hii nchi mtu huwa mzalendo akiwa na njaa, fukara na apeche Alolo Ila akipata ulaji uzalendo huyeyuka Kama theluji.
Hii imaanisha nini?
Naomba kwa heshima na taadhima, Kwa wale wanafasihi Nguli waje waniambie Tausi wa Mrisho mpoto kwenye hii nchi ndio Nani?
Alafu Mrisho...
Mstanii wa Mashairi Mrisho Mpoto (Mjomba) amesaini Mkataba wa makubaliano ya pamoja na Shirika la Posta Tanzania kuwa Balozi wa Shirika hilo. Shirika la Posta Tanzania limeingia Makubaliano na Msanii huyo ili kulitangaza Shirika pamoja shughuli zote za Shirika hilo ikiwemo Huduma Pamoja, Duka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.