Wakuu salaam,
Nadhani sasa ifike mahali sisi wananchi tuache kudanganywa kwa ahadi hewa. Tumesha kuwa watu wazima sasa, sio watoto.
Huu mradi sote tulishuhudia utiaji saini wake na Mh. Mchengerwa mwaka jana, mwezi Oktoba, na kuahidi utekelezaji wake ufanyike mara moja.
Naomba kuuliza, ni...
Wakuu hivi huu mradi kuna mwenye taarifa ya utekelezaji wake?
Mwanzoni mwa mwaka huu tuliambiwa Serikali imesaini mkopo wa mabilioni kwa ajili ya kujenga miundombinu katika jiji la Dar es Salaam ambapo utekelezaji wake ungeanza mwezi june 2024 lakini hadi sasa tunaenda August bila dalili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.