Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Dk. Batilda Burian, amewataka wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura pamoja na kuboresha taarifa zao.
Zoezi hilo linatarajiwa kuanza kesho, Februari 13, na kumalizika Februari 19 mwaka huu.
Soma Pia: Special...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imesema kwa kuzingatia matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, inatarajia kuandikisha wapigakura wapya 5,586,433 sawa na asilimia 18.7 ya wapigakura 29,754,699 waliopo kwenye daftari baada ya uboreshaji uliofanyika mwaka 2019 mpaka 2020.
Mkurugenzi wa...
Wakati Chama cha ACT Wazalendo Mkoa wa Lindi kupitia kwa Katibu wake wa Jimbo la Lindi Mjini Bw. Ahmad Zuberi wakitoa malalamiko juu ya kutoshirikishwa katika masuala ya uandikishaji wa wapiga kura kwenye daftari la kudumu la wapiga kura ikiwemo kutowapatia vitabu vya maelekezo kwa vyama vya...
Wapiga kura wapya 102,668 wanatarajiwa kuandikishwa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura Manispaa ya Lindi kupitia zoezi la uandikishaji na uboreshaji wa taarifa za wapiga kura lililoanza Januari 29 hadi Februari 3,2025 Mkoani Lindi.
Uandikishaji huo kwa upande wa Manispaa ya Lindi ni kwa...
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Bara. Benson Kigaila akitoa ufafanuzi wa taarifa za baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama hicho unaotarajiwa kufanyika kesho, kunyimwa vitambulisho.
Soma Pia: Wajumbe wanaomuunga mkono Lissu wanyimwa vitambulisho ili kesho...
Mabalozi wa CCM wilaya ya Mtwara Mjini wametakiwa kuhamasisha wananchi, hasa vijana, mama lishe, na wanachama wasiokuwa na vitambulisho vya mpiga kura, kushiriki kwenye zoezi la kujiandikisha katika daftari la kudumu la mpiga kura linalotarajiwa kufanyika Februari 27, 2025.
Soma, Pia: Afisa...
Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Kheri James amewataka wananchi wilayani humo kujitokeza kwa wingi kushiriki katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura huku akisisitiza kuwa kufanya hivyo ni kutekeleza haki yao ya Kikatiba kuchagua viongozi wanaotaka kuwaongoza katika jamii.
Pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.