mlimani city

Mlimani City is a shopping mall on Sam Nujoma Road, Ubungo, Dar es Salaam, Tanzania. It is one of the largest malls in the country, with an area of 30,000 m2 (320,000 sq ft). The opening ceremony was in November 2006. It is Tanzania's first indoor air conditioned mall.Mlimani City is home to several retail stores, restaurants, and a movie theatre, Century Cinemax. Among the stores are South African and Indian favourite stores like Choppies and Mr. Price. There are several telecommunication service provider branches based in the mall, like Airtel, Tigo and Vodacom. The mall has a large parking lot. It also has branches from several banks, building societies together with ATMs.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone mwamba

    Umeme umekatika tena wakati Tundu Lissu akiongea wakati wa kufunga Kikao cha Baraza Kuu la CHADEMA

    Katika hali isiyotarajiwa umeme umekatika hapa Ukumbini Mlimani City wakati Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akielekea kufunga Kikao cha Baraza Kuu la chama hicho. Walinzi wameimarisha hali ya usalama kwa kuzunguka meza kuu mpaka umeme uliporudi. Soma Pia: Tundu Lissu amteua John Mnyika...
  2. GENTAMYCINE

    Kuna nini mpaka sasa hatuna rasmi Matokeo ya mwisho kutoka Mlimani City?

    Nilijua tu kuwa Mfumo ukiuingilia lazima Sarakasi za kumpata Mtu sahihi zitakuwa, kwani siyo Siri wanamuogopa LAT.
  3. M

    Nani kawaleta hawa Wavuta Bangi hapa Mlimani City kwenye Uchaguzi wa CHADEMA?

    Kuna Vijana Wahuni wamelewa hapa Mlimani City wanapiga Makelele hovyo ya Lissu na Heche kila mahali kuanzia asubuhi hadi muda huu kiasi cha kuwa Kero kwa kila mtu hapa Mlimani City hata ambaye hajaja kwa mambo ya Uchaguzi, Hizi Siasa za kipumbavu hazikuwepo CHADEMA ambayo huko nyuma ilizoeleka...
  4. Papaa Mobimba

    Pre GE2025 Freeman Mbowe: Wabaya wetu wanatamani CHADEMA itoke Mlimani city ikiwa imesambaratika

    Akizungumza leo Januari 20, 2025 katika ufunguzi wa Kikao cha Baraza Kuu Mbowe amesema “kila mmoja wetu katika ukumbi huu waliofika Dar Es Salaam na watakaoendelea kuja Dar Es Salaam wote tuje tumenuia mamoja kwamba tutatoka hapa tukiwa imara pamoja(Stonger together)” Siku ambayo dunia...
  5. sonofobia

    Pre GE2025 Wana-CHADEMA tujitokeze Mlimani City kulinda kura

    Kama ilivyo utamaduni wetu ni kupiga kura na kuzilinda. Kesho wajumbe watafanya kazi ya kupiga kura. Baada ya hapo kazi ya kuzilinda kura tutaifanya sisi wananchi pamoja na wanachama kwa ajili ya kuakikisha haki inatendeka. Ima ima tujitokeze kwa maelfu pale Mlimani City kulinda kura zetu...
  6. M

    NMB MLIMANI CITY WAMESITISHA HUDUMA LEO BILA TAARIFA/MAELEKEZO. WATEJA WANAPATA SHIDA HAPA.

    Nipo hapa mlimani city Iko shida kwa wateja wengi tuliopata usumbufu. Wafanyakazi waache kutoa huduma kwa mazoea.
  7. Mindyou

    Pre GE2025 Tundu Lissu: Nilisikia wanasema Msigwa amenilipia ukumbi wa Mlimani City. Maneno ya Msigwa ni ya bure na ya uongo kabisa!

    Wakuu, Baada ya wadau kudai kuwa Msigwa ndio alimlipia Lissu ile hela ya yeye kufanya press yake ya Mlimani City, Lissu amejitokeza kupiga uzushi huo Siku ya leo akiwa anatoka kurudisha fomu ya Uneyekiti CHADEMA, Lissu amezungumzia tetesi za kwamba Peter Msigwa ambaye kwa sasa ametimkia CCM...
  8. chiembe

    Uko tayari? Dar es Salaam mpya inakuja. Serikali kutwaa eneo la mita za mraba 233,000. Maeneo ya Sinza, jirani na Mlimani City, Boko, SIMU2000 kuguswa

    Dar inapangwa upya, Sinza inasukwa upya, maeneo jirani na Mlimani City yanasukwa upya. Serikali inaenda kutwaa eneo la ukubwa wa mita za mraba 233,000 na kulipanga upya. Maeneo kama Sinza yana viwanja vya 20/20, na maeneo hayo kwa sasa ndio ujenzi mkubwa wa maghorofa unakuja. Ni vyema serikali...
  9. Pdidy

    Send off ya mtoto wa kigogo Mlimani City imenifurahisha sana, muwe na adabu na sherehe za watu

    Habari za asubuhi wapendwa Leo ni siku ya Jumamosi ingawa sijachelewa na pengine una kadi za harusi kadhaa zingatia haya Ukumbuke kadi za harusi kwenda harusini Ukienda harusini hakikisha umekula ila usishibe Hakikisha umekunywa ila usivimbiwe ukavimbiwe harusini Mkiona vinywaji vingi kila...
  10. Alex Hamadi Hamis

    Natafuta chumba, masters cha kisasa - Mwenge / Sinza / Mlimani City

    Wakuu kwema humu? Nahitaji chumba masters, cha kisasa maeneo ya Mwenge, Mlimani City au Chuo (Ardhi) au Sinza Nataka kuhamia tarehe 1 mpaka 3 December! Bajeti yangu haitazidi 200,000/- TZS Nicheki +255676095799 kama una pictures kwa maeneo hayo. Asanteni
  11. Alex Hamadi Hamis

    Natafuta chumba masters, Mwenge / Mlimani City / Mlalakuwa

    Wakuu kwema humu? Nahitaji chumba masters, cha kisasa maeneo ya Mwenge, Mlimani City au Chuo (Ardhi) Nataka kuhamia tarehe 1 mpaka 3 December! Bajeti yangu haitazidi 200,000/- TZS Nicheki +255676095799 kama una pictures kwa maeneo hayo. Asanteni
  12. chiembe

    Kwanini wahaya wanaukwepa mkoa wao? Buhaya Festival kufanyikia Dar, Mlimani City leo 27.10.2024

    Nilidhani wahaya wangefanyia tamasha hili mkoani kwao ili wapaone palivyochoka. Lakini wameamua kukaa Dar wakiangalia jiji linavyopendeza, huku makwao pakiwa choka mbaya. Ilikuwa ni fursa kwao kuangalia nyumba za babu na baba zao zilivyochoka, mazao ya ndizi na kahawa yalivyoanguka, jinsi...
  13. wa stendi

    Hili soko la kimataifa EALCC linalojengea Ubungo stendi ya mkoa ya zamani naona kama litakuwa kama mlimani city tuu

    Kariakoo itaendelea kuheshimiwa tuu hata wafanye nini hawawezi kuhamisha wafanyabiashara eti waje kununua bidhaa pale Hata Mlimani city kipindi inajengwa watu waliaminishwa kua sijui posta au Kariakoo watu watakua hawaendi tena lakini sasa mnajionea wenyewe Kariakoo inakimbiza. Mi naona...
  14. Ochoa Real Estate

    Plot4Sale Viwanja vizuri Goba Kantina, mita 30 tu kutoka barabara ya lami ya Makongo Road

    VIWANJA VINAUZWA GOBA KANTINA (MAKONGO ROAD) Viwanja vipo mita 30 tuu kutoka barabara ya Lami ya Makongo. Viwanja vipo tambarare kabisa. Dakika 2 tuu kutoka site mpaka Goba Centre. Dakika 15 tu kutoka site mpaka Mlimani City. Viwanja vimezungukwa na nyumba za kisasa kabisa. Wale wasio penda...
  15. Rodwell mTZ

    NMB Tawi la Mlimani City mjichunguze

    Hapo jana tarehe 19/08/2024 kuna mwanafunzi amekuja akiwa na shida ya kufunguliwa account hapo kwenye Tawi lenu, mmemkatalia. Eti kwa sababu hana kitambulisho cha NIDA, wakati ambapo anautambulisho kamili toka serikali ya mtaa. Lakini alipoenda kwenye benki ya CRDB walikubali kumfungulia...
  16. L

    Kwanini Maduka yaliyopo Mlimani City Mall hayafanyi kazi saa 24?

    Wakuu naomba mnisadie kwa nini Mall kubwa kama Mlimani City haifanyi kazi saa 24?
  17. Lovelovie

    Dereva Bolt amemjeruhi rafiki wa dada yangu na kutokomea

    Majuzi mdada aliequest bajaji, bajaji kafika Mlimani City wakamwambia bajaji tuingize ndani bajaji akakataa wakamwambia tutalipia getini. Bajaji akakataa akageuza bajaji, mdada anavyoelezea. Ikafika sehemu kuna msongamano wa magari mwenzie akaruka akamuacha peke ake huko ndani ya bajaji. Mdada...
  18. J

    Ni kweli Dereva alimuacha Nape akiwa Ukumbini Mlimani City baada ya kupata taarifa bosi wake ametumbuliwa?

    Hizi taarifa zimezagaa huko mtandaoni X na kwa sababu Nape kafunga akaunti yake imeshindikana kumuuliza Inadaiwa mara Baada ya kupata taarifa kuwa Waziri Nape ametumbuliwa Dereva wa Serikali anayemwendesha alichomoa plate number za Waziri na kuweka STK kisha akaondoa gari kwa kasi na kumuacha...
  19. FRANCIS DA DON

    Naona Barabara ya Sam Nujoma maeneo Mlimani City imeanza kufumuliwa, ni BRT phase 5?

    Kama ndivyo, nashauri BRT ya Mbagala kutokea Gerezani na kutokea Magomeni zianze kazi mara moja. Hakuna maana kukamilisha mradi halafu mnasubiri wiki 2 kabla ya uchaguzi ndio mnazindua, huo ni usanii. Sikupiga picha.
Back
Top Bottom